Bin Chuma75
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 993
- 1,065
Naombeni msaada wa kuelekezwa jinsi ya kutumia hii mashine ya kufulia, nimeletewa bila Manuel nami sijawahi kuitumia wakuu. Naombeni wajuzi najua mpo wengi humu, nimeunganisha kila kitu inasoma display lakini haizungushi nguo kufua na maji yanaingia na kutoka moja kwa moja. Natanguliza shukrani