Ifururu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 549
- 626
Nina kesi kama hiyo, ila mzazi mwenzangu ndo alikataa nisitoe matumizi ya mtoto.
Niliipenda sana familia yangu, tulikuwa tunapendana sana na kipenzi changu kwa jina M. Shida ilianza pale ambapo aalipata kazi na meneja wake akaanza kuwa na mahusiano naye, kiukweli niliumia sana kwani magomvi yalikuwa hayaishi ndani ya nyumba. Nilimlilia sana mke wangu kipenzi kwa kumpigiaa mpaka magoti lakini akawa haoni hasikii kwani fedha na tamaa ya mwili vilimjaa hasa ukizingatia huu uanduje wangu ndio kabisaaa akazama mazima.
Mwaka 2020 mambo yakawa magumu sana ikabidi nitafute uhamisho nihamie mkoa fulani, wakati huo yeye amehamia kabisa kwa jamaa, jamaa aalikuwa na mke wake ila alihakikisha anampangia huyu mama watoto wangu na nikapigwa marufuku kabisa ya kukanyaga pale.
Nilimfuata huyo jamaa nikamwambia aachane na mke wangu , alinihakikishia katu kuwa hatoki naye na akaapa atakuwa mbali naye.Meneja akaanza kumpa mke wake visafari vya mara kwa mara ili ale maisha penzi la mtoto wa Kimwera. Nikaona isiwe taabu nikapata uhisho nikaenda kuripoti kituo changu kipya then nikarudi.
Nilimtaka mzazi mwenzangu tuongee namna gani tutamlea mwanetu ila hakutaka kabisa kukutana na mimi na akanambia niende tuu kwanza mimi masikini sina hela ya kumtunza huyo mtoto.
Niliumia sana kwa majibu alotoa, nikampigia mama mkwe nikamweleza akanambia labda ni hasira tuu. Kwa kweli nilipoondoja sikuangalia tena nyuma.
Mwakaa juzi nikasikia anataka kumbadilisha mtoto jina ampe huyo malaya mwenzake, nikamtumia meseji moja tuu, akaanza kuwaka na matusi mengi mengi. Mwezi wa 12 nikaenda kwao niangalie uwezekano wa kumchukua mwanangu na hapa najiandaa kwenda kumchukua mazima.
Akina mama mnakuwaga na jeuri sana kiukweli niliumizwa inafikia hatua mwenzi wangu anachinja mbuzi kwamba nimehama! Nilienda ustawi wa jamii mwenyewe akaitwa akakataa kufika na vielelezo ninavyo. Nia ya kwenda ustawi ni kutaka mchango wangu wa malezi nitakaotoa uwe kimaandishi maana wanawake wanalisha sana watoto sumu, rejea mama Dangote. Sijatoa matumizi tangu mwaka 2020.na sina mpango wa kutoa hata mia.