Ni Jambo Gani Liliwahi Kukufedhehesha??

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,414
6,574
habari za mchana wana JF, hebu tutajie jambo ambalo uliwahi kusingiziwa umelifanya ILA kumbe hujalifanya na ikapelekea kukunyima raha au kukosa amani....
 
kusingiziwa kumtia mimba beki 3 daaah ilinikosesha rahaaa sana
 
Ilivumishwa nimemlamba mwl wangu!
Na haikua kweli, na nishawahi kuleta Thrade hapa ya mkasa huo.
 
Ilivumishwa nimemlamba mwl wangu!
Na haikua kweli, na nishawahi kuleta Thrade hapa ya mkasa huo.

Nipe link Judgment.....................Mimi nilisingiziwa nimemlamba mtoto wa jirani yangu ambaye alikuwa mwanafunzi wa primary na decent kwelikweli
 
Last edited by a moderator:
Nilisingiziwa nimelamba mke wa obama daa iliniuma sana!!

Note:Obama jirani yangu huku lyamba lyamfipa.
 
Jambo la kufedhehesha sio lazima liwe za kusingiziwa. Mengine inakuwa ni kweli ulifanya ama kushiriki, na hauko proud kuwa ulifanya. Muhimu ni kujifunza kutokana na makosa. Kama ulisingiziwa, ni mazingira gani yaliyopelekea? Kama ni kweli, unafanya nini kuhakikisha hakuna mazingira ya kurudia kosa?
 
Jambo la kufedhehesha sio lazima liwe za kusingiziwa. Mengine inakuwa ni kweli ulifanya ama kushiriki, na hauko proud kuwa ulifanya. Muhimu ni kujifunza kutokana na makosa. Kama ulisingiziwa, ni mazingira gani yaliyopelekea? Kama ni kweli, unafanya nini kuhakikisha hakuna mazingira ya kurudia kosa?

kweli King'asti mie nshawai kupia mweleka mbele ya bosi wangu ilinichukua kama mwaka kuikubali hali ile nliskia aibu sana!!!!lol!!!
 
Last edited by a moderator:
Me niliwahi kujamba kwenye dala dala,watu walikasirika sana na. Kunitukana matusi mengi sana,dah nilifedheheka sana.
 
Mimi tukio ambalo lilinifedhehesha na sitakaa kulisahau ni lile la kulewa kupitiliza mpaka nikaingia ktk chumba cha Baba Mkwe Mtarajiwa (mama mkwe alikuwa night shift kazini) na kujitupa kitandani.
Asubuhi ilipofika na pombe yote imenitoka,ile nainuka kitandani tu nashangaa kuwaona Mashangazi,Mama Mkwe,Shemeji zangu,Mchumba wangu na Majirani wamejaa wananishangaa pale kitandani.
Ile siku sitaisahau milele maana nilivua nguo usiku wakati napanda kitandani.
Ila namshukuru Mungu,
Nilikataa kuolewa na yule Mchumba ili kuifuta ile Aibu.
Ila Mpaka Leo nimejifunza Kunywa kwa Adabu na Huyu niliekuwa nae.
 
siku niliyoshindwa kuvunja biskuti iliyoloweshwa dah!...halafu mtaani ndio nilikua mtemi napiga kila mtu
 
Back
Top Bottom