Ni jambo gani la siri na kushangaza uliwahi kuambiwa?

Kuna mshikaji tulikuwa tunasoma nae chuo mahali, alikuwa mpole sana, very smart, muelewa na mwenye msimamo sana! Siku moja ikiwa birthday yake tulienda club moja kuenjoy kidogo. Alikuwa mnywaji kiasi ila siku hyo nahisi alikunywa vitu vilimkataa aiseee, akaja nifuata nilipokaa na bila aibu akaomba nikamrarue marinda chooninilimshangaa kama dakika tano nikidhani ni pombe ndo inaongea, urafiki ulikufa kuanzia cku ile!!!
 
Aiseeeee
 
Kweli wanawake amna siri.

Yaani wewe umepewa siri umekuja kuimwaga kama ilivyo na sipati picha ulivyoisambaza hii habari huko shuleni kwenu.
 
Mimi nilitoa siri kwa ex wangu baada ya kunikera nikampa ukweli kuwa dada yake ba mama yake mdogo nimewala wote, mpaka leo ananiitaga jini. na yy akaenda toboa siri nilianza windwa kama osama niwekwe mtu kati.
 
Hhahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom