toka hapaNimewahi kuambiwa siri nzito mno..
Mpaka naogopa kuisema humu..
loh..Jamaa aliniambia aliipigia kura CCM 2o1o
unakua????Uchumi unakua kutoka 7.9% mpaka 7.1%, nilisikitika sana
..Jamaa aliniambia aliipigia kura CCM 2o1o
Hii thread nitairudia tena
..Jamaa aliniambia aliipigia kura CCM 2o1o
Tagwenya....toka hapa
Nilipoambiwa lowasa kainunua chadema..Jamaa aliniambia aliipigia kura CCM 2o1o
ikoooooooooTagwenya....
heri ya mwaka mpya rafiki yangu. hope ulimaliza salamaTagwenya....
Salama salimin j....how bt you!heri ya mwaka mpya rafiki yangu. hope ulimaliza salama
mm zaidi, nimekumis hadi nikaenda pale mahali kukucheki.Salama salimin j....how bt you!
Nimepotea humu nimewamiss saana
Koh hadi ndoa zimevunjika hiki kipindi nilichopotea? Ushem kwishneymm zaidi, nimekumis hadi nikaenda pale mahali kukucheki.
loooh inabidi uwe unaaga ujue.