Ni ishara gani au mambo gani utamfanyia mwanamke agundue unampenda bila ya wewe kumtongoza?

Wana JamiiForums habari zenu, poleni kwa mihangaiko.

Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa wale mnao wajua wasichana kiundani zaidi ( mliobobea zaidi kwenye masuala ya mahusiani)

Naombeni trick za namna gan naweza date na demu mkali/mrembo pasipo kupoteza muda kumtongoza ila kwa mambo flani tu agundue kwamba huyu mtu anampenda?
Dah, ngoja nimalize mchezo, unachokitaka ni against nature, mwanamke anahitaji mwanaume anayejiamini na anayeweza kuelezea anachokitaka, mwenye kujua direction ya mambo ya mahitaji yake ya kimaisha. Short cut ni kuonyesha unajiamini na kumualika na kuonyesha interest yako kiuwazi kabisa, be gentle na focused.

Huwezi kuoga maji ya ndoo bila kujimwagia.
 
Mwanamke anakupa masaa siku kadhaa ambazo anasubiria ufunguke u-make first move, mwanamke anathamini mwanaume mwenye confidence zaidi ya wewe mwenye sura nzuri, mwenye pesa unayejipitishapitisha, baada ya siku kadhaa kama demu haujamtokea ndio basi tena utamsikia kwenye mataa, first impression ina nguvu zaidi kuliko unavyodhania sasa wewe subiri mpaka chris mass ifike ndio ufunguke utakuta jamaa wa kawaida tu usiyemdhania aliyeweza kufunguka ameshabeba mzigo utabakia wewe na show off zako
 
Maneno machache tu mkuu..
1..You are so cute mrembo.
2..you are so pretty..
3..mtoto umependeza sana ,,hata ukivaa gunia bado upo so cute..
Mwambiye maneno haya mara kwa Mara...
Halafu omba contact...
Ukipewa contact..... Asubuhi mtext morning mrembo?
Na mpesa/Tigo pesa isome 50 elfu ya soup..tuma kwenye simu yake..
Ask for an appointment...
Ukimkosa huyo kiumbe ,,wewe ni zaidi ya pimbi wa kwenye gazeti la sani..
Aisee.. mkuu.. kuna wanawake hatupendi kuambiwa haya maneno utanikeraaa. Si wote tunapenda hayo maneno sijui kyuti na nini huko. Cha kufanya ni kutengeneza bond na kuwa marafiki tu unijue hapo umewin kila kitu
 
Focus kwenye masomo,hakikisha mtihani wako wa mock unapiga one nzuri alafu muombe muwe mnadiscuss pastpaper pamoja,huu ushauri utakua unaendana na umri wako..swine
Kwamba Jamaa ni dogo flan hivi wa Form II/Form IV, au siyo😀
 
Aisee.. mkuu.. kuna wanawake hatupendi kuambiwa haya maneno utanikeraaa. Si wote tunapenda hayo maneno sijui kyuti na nini huko. Cha kufanya ni kutengeneza bond na kuwa marafiki tu unijue hapo umewin kila kitu
Sasa mkuu unapenda kuitwaje kwa mfano?

Mfano upo mtaani na kidume kinataka kukutoke,,unapendelea akuitaje? Ili kuvuta hisia zako na kukufanya umsikilize ngonjera zake.
 
Sasa mkuu unapenda kuitwaje kwa mfano?

Mfano upo mtaani na kidume kinataka kukutoke,,unapendelea akuitaje? Ili kuvuta hisia zako na kukufanya umsikilize ngonjera zake.
Mkuu, kuanza kuniambia sijui cute, beautiful yaan sipendiii... napenda urafiki sana sana sana
 
Mkuu, kuanza kuniambia sijui cute, beautiful yaan sipendiii... napenda urafiki sana sana sana
OK..mfano umekutana na mwanaume barabarani,,hamfahamiani.
Anataka kukusimamisha,,,,unapenda akuite kwa jina gani kwa mfano.?

--Wewe Dada?

--Wewe sister?

--Au mrembo?

--Au wewe mama?.

--Au psii!! Psiii!!psii!!?

-- au oyaa,,oyaa?

Unapenda uitwe kwa jina gani ili uvutiwe na kumsikiliza mwanaume anayekusimamisha?
 
Daah ndugu yangu wewe unashida unamiaka mingapi kwani?
 
spend_on_her= True
not_spend_on_her= False

if spend_on_he:
print("She is yours")
print("your going to win her love")
elif not_spend_on_her:
print("She will never be yours")
print("Your going to loose this battle")
else:
print("Ndugu yangu hela ndio kila kitu")

print("Mpe pesa, mpe pesa, mpe pesa")
Pesa si mapenzi
 
Back
Top Bottom