Ni ipi sera ya CHADEMA kwa sasa baada ya No Reforms, No Election (NRNE)?

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
5,557
Reaction score
8,193
Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara?

Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
 
Sisi chadema sera yetu huwa tunasubiri tukio lolote ili tulidandie

Kwa sasa tupo na Mwandambo , nyuma tulikuwa na Hibil na nyuma tulikuwa na Tunatoka na nyuma tena tulikuwa na Tesha na nyuma Pole pole na nyuma Gwajima na nyuma Free Lissu na nyuma free mdude

Our political party is mediocre party .
 
Nina wasiwasi na uanachama wako au upo chadema kwa mkopo
 
Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara?

Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
Nasikia chama dola kwa kutumia mahakama waliifungia chadema kufanya siasa na viongozi wake hawatakiwi hata kiongea kwenye media, vipi, mmesha wafungulia kufanya siasa?
 
Sisi chadema sera yetu huwa tunasubiri tukio lolote ili tulidandie

Kwa sasa tupo na Mwandambo , nyuma tulikuwa na Hibil na nyuma tulikuwa na Tunatoka na nyuma tena tulikuwa na Tesha na nyuma Pole pole na nyuma Gwajima na nyuma Free Lissu na nyuma free mdude

Our political party is mediocre party .
Chama ni vikao, na kwa sasa shughuli za cdm zimesitishwa kwa maagizo ya jishangazi linalokaa madarakani kwa vifo. Mwanzo jishangazi lilipata madaraka baada ya kifo cha Magufuli, na sasa limetangazwa rais baada ya mauaji ya halaiki.
 
Nasikia chama dola kwa kutumia mahakama waliifungia chasema kufanya siasa na viongozi wake hawatakiwi hata kiongea kwenye media, vipi, mmesha wafungulia kufanya siasa?
Sisi wadau tunauliza hayo yote yakishakwisha chama letu litakuja na sera gani tutambie majukwaani na kwenye vijiwe baada ya NRNE kutrend na hatimae kufika kikomo
 
Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara?

Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
Niipi Sera ya CCM baada ya kuua raia bila hatia???
 
Sisi wadau tunauliza hayo yote yakishakwisha chama letu litakuja na sera gani tutambie majukwaani na kwenye vijiwe baada ya NRNE kutrend na hatimae kufika kikomo
Na sisi chama kubwa na pendwa, tunailiza sababu ni nini ya kutufungia kufanya siasa.

Tz kuna historia yoyote ya chama cha siasa kifungiwa kufanya siasa?
 
Hiyo ndio sera yenu kwa sasa?
 
Chadema haijafanya siasa muda mrefu sana, unataka sera gani wakati unajua kuwa chama kiko dormant?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom