kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,562
- 2,628
Hivi huko mufindi mashamba yapo je bei gani kwa eka?Upo wapi? Kwa mkoani iringa wilaya ya mufindi. Miti aina ya mlingoti ndio bora zaidi. Kwanza inakua haraka. Pili mbao zake zinatumika katika uselemala. Ngoja tusubiri na wadau wengine wanasemaje kuhusu hilo
Sent using samsung galaxy grand prime pro