papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 765
- 503
Kwa hakika kama kuna tabia ya aibu na kuchukiza na kuporomsha heshma ya mtu ni tabia ya umalaya siku za awali mtu akiitwa malaya awe mwanamke au mwanamume alikua hanathamani mbele ya watu hata ushauri wake au maoni yake yalikuwa hayazingatiwi na hudhrauliwa kwa ushauri sababu ya tabia yake.
Takriban muundo huu wa maadili ya kuchukizwa na umalaya ulitapakaa sehemu zote ulimwenguni,ila taratibu umalaya ulianza kushika kasi pale wanawake walipo anza kutumia viungo vyao vya uzazi kama mtaji wa kujikimu kimaisha na hayo yalichochewa sana na wanaume malaya, hapo ndipo umalaya ukatufutiwa jina mbadala kimataifa. Kwa kua jina halisi malaya kwa lugha yeyote ile ulimwenguni huwa ni aibu na fedha kunasibishwa nalo.
Makundi hayo yakaanzisha muundo wa kukusanya malaya ulimwenguni chini ya nembo ya heshma ya Miss kwa tabia za umalaya, makundi haya ni mabaya sana ndio yanayo taarisha wacheza porono( picha za ngono)ndio yanayo fundisha mabinti wanao shiriki kutumia madawa ya kulevya.
Mimi siamini binti mdogo bila woga huzuni wala haya anaweza kupita uchi mbele ya kadamnasi ya watu, akiwa na akili yake timamu la hasha.ila kama bint huyo ataharibu akili yake kwa bange au herion n.k jambo hilo ni rahisi sana kupita mbele ya watu uchi, napia siamini kama mwanamke au mwanamume ambaye si malaya anaweza akatoa gharama ya kiingilio hata ikiwa ni sh.1000. eti kwenda kutizama malaya anvyopita uchi mbele ya watu naye akaburudika isipo kuwa naye ni malaya.
Kwanini nasema U-miss ni mazoezi ya kuja kuwa mcheza picha za ngono
(a) zoezi zima na onyesho zima ni half porono.(nusu ngono)
(b) wengi wa washiriki wake na kupata ushindi wa kuchaguliwa kuwa malaya wa kwanza baada ya hapo maisha yake huwa ni majanga na ushupavu wa uzinzi kupamba magazeti ya udaku kwa visa vya ngono na picha za uchi.
Kwa bahati mbaya hata serikali zinazo tawaliwa na wengi wapenzi wa ngono zimeingia katika mtego huu wa U miss.
Na pia kwa bahati mbaya hawa malaya wa Umiss eti nawo huwa ni watu mashuhuri nchini kiasi kuwa akifanya jambo linavuta hisia za watu nchini kama kwamba limefanywa na mtu mwenye heshma mbele ya watu. Huu ni MSIBAMi sintaona ajabu ex- miss na washirika wake kwa kujipa majina eti akina queen kukutwa na bange au madawa ya kulevya.