Mtoa post umeongea hoja muhimu Sana.
Sema umeharibu hapo mwisho japo hujamtaja moja kwa moja.
Maonyesho ya u-miss ni kuhamasisha watu kutembea uchi.
Lakini swala la umalaya ni jingine kwani mchana Malaya hutembea na nguo za heshima[/QUOTE
Sawa wanahamasishwa watembee uchi mwisho wa siku iweje?
Hiyo ya mchana malaya kutembea na nguo ya heshma huyo ni daraja la pili anapo hamasishwa akaingia darja la kwanza Huzivua hizo nguo za heshma mchana.
halafu mbona mnang'ag'ania atajwe mtu moja kwa moja kwani ni nani huyo mnaemlengesha ktk post yangu?
Kutembea uchi = UKICHAAHivi mtu akitembea uchi anakuathiri Vp wewe?!!Au huwaoni vichaa kila kona wakitembea uchi?!!
Tatizo tunataka kuimiliki jamii na kufanya tunachotaka sisi, kwa ufupi Hata mwanao sio miliki yako.
Respect free will Of others.



Hivi mtu akitembea uchi anakuathiri Vp wewe?!!Au huwaoni vichaa kila kona wakitembea uchi?!!
Tatizo tunataka kuimiliki jamii na kufanya tunachotaka sisi, kwa ufupi Hata mwanao sio miliki yako.
Respect free will Of others.
Mkwepa kodi. Unatisha sana. Huogopi kuonekana MalayaWewe kama huna nguvu za kutosha za kiume tuachie sisi tuzichezee papuchi mpaka mwisho wa dunia, papuchi ziliumbwa kwa kazi hiyo
Nimesema tunalaani tunachokitenda. Unafiki mtupu. Ukimwi unaua huku unajipeleka kuzamia mzima mzima. Condom inavuliwa na kutupwa katikati ya "game"!Pointlesshadithi ya kufikirika unataka kusema wanao tengeneza sigara wote wanavuta sigara, pia katizame pakti ya sagara imeandikwa onyo gani kwa mtumiaji?
Heeee !!!!!!!!!![]()
uwiiiiiiiiii
![]()
![]()
unatisha sana mkuu unasema swala la umalaya halina MADHARA duu nafikiri umefikia kiwango cha arosto ktk hii buissnes.hebu nieleza NJIA KUU INAYOTUMIKA KUSAMBAZA UKIMWI NI IPI
Nimesema tunalaani tunachokitenda. Unafiki mtupu. Ukimwi unaua huku unajipeleka kuzamia mzima mzima. Condom inavuliwa na kutupwa katikati ya "game"!
Wewe pamoja na jamii nafiki ndiyo mtupiao mawe malaya hadharani, wakati mnawatafuta mafichoni kwa muda wenu na mnahonga pakubwa!
Hicho kitu nilichokueleza kinafanya wanafiki mfano wako wajinyonge wagunduapo wanangoma. Hawakubali matokeo ya matendo yao ya kinafiki, wanajiua!
Ndomaana nikasema umalaya ungekuwa mbaya, jamii ipo, watunga sheria na watawala wapo, iweje pasitungwe sheria madhubuti na ya kikatili kukomesha kabisa tabia hiyo?
Tunakilaani tunachokipenda na kukuifanya, aidha waziwazi ama kwa siri. Unafiki tupu.[/QUOTE
Kama ni mvinyo wa umalaya ww yaonekana unalewa kwa harufu, halafu huwo utetezi wako juu ya umalaya kwa yeyote timamu akilini ataelewa wewe ni mmoja katiyao. Halafu point yako ya kusema kama umalays ungekua mbaya jamii ipo ingetunga sheria, hivi kwa akili zako wafikiria ulimwengu mzima ni kijiji chako unachokifahamu ? na jamii yote ni jamii inayokuzunguuka hapo kijijini kwako? na watunga sheria ni hao tu waliokuzunguuka walio lewa ktk dimbwi la umalaya kama wewe?
Mkuu hebu toka katka kiota chako zipo nchi na jamii ulimwenguni humu zimetunga sheria kali sana juu ya umalaya na zipo nchi zilizotopea ktk umalaya na wanachi wao wengi ni wenyefikra kama zako, zinatoa lesini ya umalaya.
sasa usifikirie uzuzu wa watunga sheria walio kuzuunguka ww ukafananisha na watunga sheria wa jamii staarabu.