Ni Idara zipi za Serikali zinazoongoza kwa rushwa licha ya juhudi nyingi za Rais na wasaidizi wake?

Kwa Takwimu zipi? Chanzo gani? au hisia tu? Hao PCCB si ndio wanakamatwa watu kwa rushwa? Najua baadhi yao wanatajwa kwenye rushwa lakini sio kusema ni idara inayoongoza. Hawa jamaa wasingekuwepo tungekoma. Maana hapa ofisini tu wakitaka kupiga dili cha kwanza wanaulizana na kusema jamani kuna TAKUKURU hapa. Uoga wao tu tayari maana yake chombo kiko effective.
 
Takwimu za Kidunia Polisi wanaongoza, na moja kati ya sababu ni kwamba kwenye nchi nyingi wanalipwa mishahara midogo, Pia mhalifu yeye mwenyewe anakuwa wa kwanza kushawishi kutoa rushwa hata kama hajaombwa ili asishtakiwe. Angalia trafiki ambavyo madereva tunajipendekeza tukiakamatwa kwa kosa lolote. Tusiwaseme sana mpaka na sisi tubadilike.
 
Wizara ya mambo ya ndani, namba one Police yaani hao hata iweje hawawezi badilika!
 
Takwimu za Kidunia Polisi wanaongoza, na moja kati ya sababu ni kwamba kwenye nchi nyingi wanalipwa mishahara midogo, Pia mhalifu yeye mwenyewe anakuwa wa kwanza kushawishi kutoa rushwa hata kama hajaombwa ili asishtakiwe. Angalia trafiki ambavyo madereva tunajipendekeza tukiakamatwa kwa kosa lolote. Tusiwaseme sana mpaka na sisi tubadilike.
sababu sio mishahara toa kabisa hapo.

sababu ni aina ya huduma wanayotoa.waalimu wana mishahara midogo pia mbona rushwa haiambatani nao??

ni kama kusema hata wapewe mishahara mikubwa kiasi gani rushwa watakwara kama kawaida.
 
watanzania wote upigaji upo ndani ya damu mashehe wanagombea misikiti kwa ajili ya upigaji hakuna cha idara ni watanzania wote ndani ya moyo
 
Takwimu za Kidunia Polisi wanaongoza, na moja kati ya sababu ni kwamba kwenye nchi nyingi wanalipwa mishahara midogo, Pia mhalifu yeye mwenyewe anakuwa wa kwanza kushawishi kutoa rushwa hata kama hajaombwa ili asishtakiwe. Angalia trafiki ambavyo madereva tunajipendekeza tukiakamatwa kwa kosa lolote. Tusiwaseme sana mpaka na sisi tubadilike.
Sawa afande,tutalizingatia hilo.
 
Kwa Takwimu zipi? Chanzo gani? au hisia tu? Hao PCCB si ndio wanakamatwa watu kwa rushwa? Najua baadhi yao wanatajwa kwenye rushwa lakini sio kusema ni idara inayoongoza. Hawa jamaa wasingekuwepo tungekoma. Maana hapa ofisini tu wakitaka kupiga dili cha kwanza wanaulizana na kusema jamani kuna TAKUKURU hapa. Uoga wao tu tayari maana yake chombo kiko effective.
Wewe Jamaa, sisi hao PCCB tuko nao kitaa tunawajua, Ukitaka kupigia dili, ww mshorikishe tu, dili yako inapita vizuuuri.

Wanaokamatwa ni wale wasiojua utaratibu tu.... Usitake nikupe takwimu, fuatilia
....fuatilia.. Utajua.
 
Back
Top Bottom