Ni huzuni sana

Ni huzuni sana

Habari wakuu

Nimejaribu kupitia nyuzi za waliomba msaada wa njia nzuri za kujiua wameandikiwa R.I.P kwenye profile zao. Hii inamaanisha wapendwa wetu walikua na Nia ya kweli ya kujiua.

Muhimu: Tusiweke mawazo yasiyofaa au ya kubeza tukiona hizi nyuzi, wenzetu wanahitaji faraja na mawazo badilisho ili waache mawazo ya kujiua.
Sasa mtu kama ameyachoka haya maisha magumu ya hapa duniani, unataka umpe faraja ili aendelee kuteseka? Kumbuka Rais wetu mpendwa aliwahi kusema kifo ni kifo tu! Yaani hakikwepeki. Muda ukifika wa kufa, utakufa tu.
 
Back
Top Bottom