Ni huyu huyu Makonda ninayemjua au macho yangu?

Wakuu, mwezi mmoja nyuma nilikutana na msafara Mwenge wa kufa mtu, msafara uliokuwa unaelekea Ubungo ukiwa na Magari zaidi ya mia moja yakiwa yamesheheni polisi, Magereza, Jeshi la Wananchi, Usalama wa Taifa, makada yote ya wanaCCM Dar, vigogo wote wa serikali Dar, msafara uliokuwa na mbwembwe za kila aina na ving'ora vya kuogofya.

Msafara huo uliokuwa na polisi wa lining'inia pembeni mwa milango ya Magari na brigedi ya UVCCM, ulikuwa unaelekea Ubungo kwa kupita hiii barabara ya Mlimani City, ni moja ya misafa yenye mbwembwe na ya hatarii niliyowahi shuhudia katika maisha yangu iliyokuwa na idadi kubwa ya Magari na watu walining'inia kwenye milango ya Magari ikijumuisha speed ya kukimbia na ving'ora vyenye sauti ya kuogofya.

Wakuu, leo hiii nimekutana na makonda akiwa hana mlinzi, hana ving'ora wala wasaidizi akionekana mtu wa kawaida na mwenye woga woga akiwa anatazama huku na huku kwa kupitia miwani dizani ya wale wazee wa kuangalia watu kwa kutumia kwenye upenyo wa juu ya miwani yaliyovaa wakisingizia kuwa miwani wamevaa kwaajili ya kusomea tu.

Wakuu ilibidi nifute vizuri vumbi kwenye uso Wangu ili niweze kuona kama kweli mtu huyu anaeonekana mbele yangu ni Makonda au nimepata shida ya macho niligundua kuwa ni yeye, ilinibid nipige simu kwa mmoja wa watu tuliokuwa nao siku ile ya ule msafara kuuliza kuwa hivi ule msafara ulikuwa ni wamakonda kweli? Akanihakikishia kuwa alikuwa yeye.

Wakuu, leo ndio nimegundua kuwa kweli lile somo nililofundishwa kule Msalato Secondary School kwamba dunia inazingua katika muhimili wake ni kweli.

Wakuu, tumuachie MUNGU kwa kila jambo hapa duniani yeye ndie anaejua muda siku na saa, maisha tunayoishi hapa duniani ni record ya mchezo wa mpira tulioucheza uliokuwa unatazamwa na mwenyezi MUNGU pekee na ndie anaelewa mwisho wa matokeo ya mpira uliochezwa na kila mmoja wetu, daaah!

Kupitia huyu bwana lazima watawala wajifunze kitu hapa, kuna kitu MUNGU amekionesha kupitia kwa huyu makonda ila wenye uwezo wa kuelewa wataelewa na wenye uwezo mdogo wa uelewa hawataelewa kilichotokea ila MUNGU hapa alikuwa na maaana yake, ujue MUNGU anaweza kukushusha chini kwa muda wa siku moja tu au week tu kwa nia ya kukuonesha kitu au kwa nia ya wenzio kujifunza halafu baadae akakupandisha.

Lazima tujifunze kuhusu madaraka kuwa ni dhamana maaana huyu walifika mahali wakasema kuwa anamadaraka kumzidi Waziri Mkuu pasipo kujua kuwa Waziri Mkuu hata akistaafu atalindwa maisha yake yote.
Subiri muda si mrefu atakapokuwa waziri uje tena na ushuhuda
 
Amenizid nini? Yani umeshikwa akili. Mimi Nina masters degree mbili yeye alifeli form four, halafu unasema kuwa ananizid kila kitu unajitambua lakini? Hiyo ni moja tu nimekupa bado vingne vingi ninavyomzid, usikariri juu ya pesa, maisha sio pesa tu wewe.

Mtu mwenye Masters Mbili original, namaanisha hajakopi maandiko yake , anawezaje kupata muda wa kuchafua akili yake kwa kumpiga majungu mtu. And then anajifanya majungu utangulizi wa ujumbe mzito kwa wenye madaraka. Ulichosahau kikubwa madaraka sio ukuu wa njia Ni mtu yeyote mahali pake. Anayatawalaje mazingira na watu wanaomzunguka. Kama watu kibao wameshampiga majungu na maukweli Mimi sijui, wewe msomi umewezaje kudandia mbele.

Lakini pia huna credibility. Hatukujui. Inaweza kuwa umeishia la pili. So please Acha majungu.
 
Ungekuwa umepungukiwa damu tungekuongezea lakini umepungukiwa akili na ufahamu

Simjui makonda. Ila uhakika ninao watanzania hupende sana kuwasakama watu wanaodhani wamefanikiwa. Mtu asiye na impact hazungumziwi hivyo. Acheni wivu. Maisha yetu watz wengi Ni wapiga deals sana, ukwepaji kodi nk. Ila wepesi sana kuwanyooshea wengine vidole. Why HULKA YA WAOVU KUFICHA YAO YA NDANI.
 
Pamoja na yote lakn bado amekuzidi kwa kila kitu.
Amemzidi Nini? Makonda sasa Ni Kama kunguru, alitengeneza maadui wengi sasa hivi hajui Nani anamuwinda wakati Hana ulinzi. Hana Uhuru kabisa. Hata lile tako litaporomoka chief.
 
Mimi naamini Makonda bado ni kiongozi bora,dar aliiweza na ilimpendeza,Nakuomba mueshimiwa Rais msikikivu Dokta Magufuli amkumbuke kijana huyu,hii ni hazina ya badae kwa taifa na chama sio Makonda tu,na wale wengine wote walojaribu kutia nia ni haki yao kikatiba hatutakiwi kuwalaumu bali tuwatie moyo.Makonda tuko pamoja Mungu yu mwema jipe moyo siasa ndivyo zilivyo usiumie moyo kwa maneno ya wapinzani wako bali yatumie maneno hayo kukomaa kisiasa,Mengi umepitia ulisimama imara naimani hata kwa hili ni upepo tu unapita simama imara,Mungu ni wa ajabu mno mlango huu unafungwa mwengine kule unafunguka ni uvumilivu tu unatakiwa wakati ukisubiri ufunguo brother
 
Subiri muda si mrefu atakapokuwa waziri uje tena na ushuhuda
Pamoja na kuwa Joyce joyce hakuelewa ujumbe wangu, ukuu wa mkoa kikatiba ni mkubwa kuliko uwaziri. Kikatiba mkuu wa mkoa ana bunduki 7 na ana mpambe wake ambaye ni polisi wakati Rais ana ADC ambaye ni JW. Ndiyo maana mkuu wa mkoa anamwapisha mkuu wa Wilaya, je waziri anamwapisha nani? Je, unakumbuka uhasama wa Banduka alipokuwa mkuu wa mkoa na JK alipokuwa waziri wa mambo ya nje na mbunge wa Chalinze? Hivyo ni upumbavu mkuu wa mkoa kugombea ubunge ili awe waziri. All in all, wengi tulifurahi makonda kutoka ukuu wa mkoa wa Dar maana huyo kijana akili yake anaijua yeye na JPM alimlea sana mpaka akamchafua ingawa hatujui faida alokuwa anaipata kwa Bashite.
 
Amenizid nini? Yani umeshikwa akili. Mimi Nina masters degree mbili yeye alifeli form four, halafu unasema kuwa ananizid kila kitu unajitambua lakini? Hiyo ni moja tu nimekupa bado vingne vingi ninavyomzid, usikariri juu ya pesa, maisha sio pesa tu wewe.
Hahahaa! Hizi tambo za nyuma ya keyboard. Anyway kila la kheri mkuu
 
Amenizid nini? Yani umeshikwa akili. Mimi Nina masters degree mbili yeye alifeli form four, halafu unasema kuwa ananizid kila kitu unajitambua lakini? Hiyo ni moja tu nimekupa bado vingne vingi ninavyomzid, usikariri juu ya pesa, maisha sio pesa tu wewe.
Kwa hiyo mnalingana na Mwakyembe sio?
 
Wakuu, mwezi mmoja nyuma nilikutana na msafara Mwenge wa kufa mtu, msafara uliokuwa unaelekea Ubungo ukiwa na Magari zaidi ya mia moja yakiwa yamesheheni polisi, Magereza, Jeshi la Wananchi, Usalama wa Taifa, makada yote ya wanaCCM Dar, vigogo wote wa serikali Dar, msafara uliokuwa na mbwembwe za kila aina na ving'ora vya kuogofya.

Msafara huo uliokuwa na polisi wa lining'inia pembeni mwa milango ya Magari na brigedi ya UVCCM, ulikuwa unaelekea Ubungo kwa kupita hiii barabara ya Mlimani City, ni moja ya misafa yenye mbwembwe na ya hatarii niliyowahi shuhudia katika maisha yangu iliyokuwa na idadi kubwa ya Magari na watu walining'inia kwenye milango ya Magari ikijumuisha speed ya kukimbia na ving'ora vyenye sauti ya kuogofya.

Wakuu, leo hiii nimekutana na makonda akiwa hana mlinzi, hana ving'ora wala wasaidizi akionekana mtu wa kawaida na mwenye woga woga akiwa anatazama huku na huku kwa kupitia miwani dizani ya wale wazee wa kuangalia watu kwa kutumia kwenye upenyo wa juu ya miwani yaliyovaa wakisingizia kuwa miwani wamevaa kwaajili ya kusomea tu.

Wakuu ilibidi nifute vizuri vumbi kwenye uso Wangu ili niweze kuona kama kweli mtu huyu anaeonekana mbele yangu ni Makonda au nimepata shida ya macho niligundua kuwa ni yeye, ilinibid nipige simu kwa mmoja wa watu tuliokuwa nao siku ile ya ule msafara kuuliza kuwa hivi ule msafara ulikuwa ni wamakonda kweli? Akanihakikishia kuwa alikuwa yeye.

Wakuu, leo ndio nimegundua kuwa kweli lile somo nililofundishwa kule Msalato Secondary School kwamba dunia inazingua katika muhimili wake ni kweli.

Wakuu, tumuachie MUNGU kwa kila jambo hapa duniani yeye ndie anaejua muda siku na saa, maisha tunayoishi hapa duniani ni record ya mchezo wa mpira tulioucheza uliokuwa unatazamwa na mwenyezi MUNGU pekee na ndie anaelewa mwisho wa matokeo ya mpira uliochezwa na kila mmoja wetu, daaah!

Kupitia huyu bwana lazima watawala wajifunze kitu hapa, kuna kitu MUNGU amekionesha kupitia kwa huyu makonda ila wenye uwezo wa kuelewa wataelewa na wenye uwezo mdogo wa uelewa hawataelewa kilichotokea ila MUNGU hapa alikuwa na maaana yake, ujue MUNGU anaweza kukushusha chini kwa muda wa siku moja tu au week tu kwa nia ya kukuonesha kitu au kwa nia ya wenzio kujifunza halafu baadae akakupandisha.

Lazima tujifunze kuhusu madaraka kuwa ni dhamana maaana huyu walifika mahali wakasema kuwa anamadaraka kumzidi Waziri Mkuu pasipo kujua kuwa Waziri Mkuu hata akistaafu atalindwa maisha yake yote.
Ila Joyce una majungu.

Khaaaaa! Hahah
 
Mi naonaga watu ni kama mmejawa na wivu tu,sisi waTanzania ni watu wa ajabu sana maana hicho kinacho tokea kwa Makonda ni sehemu ya maisha ya watu wote ktk utafutaji na wala hawezi kua wasi wasi,hii tabia kiukweli ni kuacha mambo yako na kukaa ukitamani ya mtu mwingine,sasa ukiona yale maisha ya mwingine huyo yamebadilika unafurahi bila sababu ya msingi

Sijui ukiona kaibuka mwakani na mamlaka mengine utasemaje,kila mtu huku duniani ana talanta yake na ana majaribu yake,huu unaemsema yamkini account yake ina pesa ya kukulisha wewe na familia yako karibu hata miaka 20,acheni watu na maisha yao.
 
Wewe unaujua ulinzi wa raisi mstaafu ns previledge zake mpaka anaingia kaburini??
Kwan Rais akistaafu ulinzi wake unaendelea kuwa ule ule wa awali? Nafahamu ataendelea kulindwa kama Rais Mstaafu.
Halafu Rais sio kama RC.RC hana ulinzi wowote akitoka madarakani hata kama alitumia power yake kupata walinzi wengi kipindi chake.
 
Hayo ni mambo mengne sisi tunazungumzia MUNGU mtu, (kiutawala kulingana na alivyokuwa amejiweka) kwa sasa anaweza kuitwa had na Mtendaji wa mtaaa akaambiwa ajieleze hizo pesa hazitaenda kujieleza na issues ya pesa hiyo ni kesi ingne
Huu ni wivu wako tu..mtu ataendelea na maisha yake na wewe utabaki unapigika tu

Unadhani MUNGU hua ni mjinga amfanye mtu vile upendavyo wewe!
 
Back
Top Bottom