Eng. Smasher
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 745
- 23
we unafikirije jibaba?
mi nishawahi kununua sinia zima la ndizi nipate wasaa wa kimwana
Siungemuongezea mtaji kabisa?
Hehehe si mwenyewe anaona sifa kulipia sinia moja badala ya kumUpgrade!una maneno wewe????
Hehehe si mwenyewe anaona sifa kulipia sinia moja badala ya kumUpgrade!
Hahahaha!Acha wivu!
Toka lini Masa amekuwa kijana hivi?Huu ni uchakachuaji wa mchana!!
Thanks Lizzy,waelimishe sifa za kweli za mwamume anazoruhusiwa kusema in public ndo kama hizo........unamkuta mtu kwenye hali ya chini unamsaidia kwenda kwenye hali bora zaidi si kununua sinia ambalo hatujui hata lilikuwa na ndizi ngapi na zikiuzwa kwa shilingi ngapi ili huyo msichana awe na hivyo vitu vya thamani ambavyo mtoa hoja kavisema hapo....alafu unajua si sifa kupewa k........ hujui wamepita wangapi,pengine hata wanaonunua ndizi moja anawapa.........LOL kama hilo sinia lilivyo cheap na huyo mwanaume ndo alivyo cheap..am sorry!
Kweli kabisa Michelle ila ndio kaka zetu walivzo hivyo!
we unafikirije jibaba?
mi nishawahi kununua sinia zima la ndizi nipate wasaa wa kimwana
Jaman mbona wakaka wenye hizo business hamuwasaidii nyie wadada wawe na maisha bora??!!
Tunawasaidia,we hujui tu vijana wangapi tumewapa mitaji na kuwapangishia nyumba hapa mjini.mi tayari wawili na nikikutana na mwingine anaye-worth ntampa mtaji.
unawapangishia na kuwapa mitaji kama kujitolea au unalea??!!
Tunawasaidia,we hujui tu vijana wangapi tumewapa mitaji na kuwapangishia nyumba hapa mjini.mi tayari wawili na nikikutana na mwingine anaye-worth ntampa mtaji.
ai jamani,kwani haiwezekani kusaidia tu?
Sisi si hua mnatuitaga viumbe duni wakati mwingine?Ka tu duni hatuwezi kuwezesha ila tunakaribisha kuwezeshwa!Alafu mwamaume mwingine kusaidiwa na mwanamke anaona kama atapoteza uanaume wake!Jaman mbona wakaka wenye hizo business hamuwasaidii nyie wadada wawe na maisha bora??!!
Sisi si hua mnatuitaga viumbe duni wakati mwingine?Ka tu duni hatuwezi kuwezesha ila tunakaribisha kuwezeshwa!Alafu mwamaume mwingine kusaidiwa na mwanamke anaona kama atapoteza uanaume wake!