Ni heri Tanzania ingeendelea kutawaliwa na Mkoloni ili tupembuke akili

Mkuu....

Yale Mazao yaliyokuwa yanazalishwa kipindi cha mkoloni yalitengeneza AJIRA?!!!

Ajira kwa maana ya AJIRA RASMI NA ISIYO RASMI?!!

Mkuu isije ikawa unatuchanganyia UKIBARUA na UKULI kuwa ni AJIRA....

Mkuu mkoloni hakutoa AJIRA ya jembe la Mkono Katika mashamba yake zaidi ya HAND TO MOUTH...anakulimisha mazao ya biashara nawe unalima kidogo kwa AJILI YA KULA na hakukuwa na MISHAHARA(nionyeshe Kama ilikuwepo).....

Kuhusu suala la AJIRA kwa Magufuli mbona LIKO WAZI....

Ni kweli kwa MIAKA 5 ya KWANZA hakuajiri Sana Kama WALIVYOAJIRI WATANGULIZI WAKE....

Haikuwa ni KIPAUMBELE CHAKE kwa sababu MTAMBUKA......

Je tujiulize...nguvu hiyo ya KUTOAJIRI hakuipeleka SEHEMU Nyingine kwa MASLAHI ya taifa?!!!

Kwani kupanga ni kuchagua....

Na kila UTAWALA una vipaumbele vyake...ndio MAANA aliyofanya OBAMA kuhusu HEALTH CARE NA MAKUBALIANO YA KINYUKLIA NA IRAN bwana TRUMP alikuja KUYAFUTA YOTE...je TRUMP si Mzalendo Kama OBAMA?!!!!!

Bahati iliyotokea hapa nchini ni kuwa yule ambaye "hakuajiri sana" ameshinda tena URAIS......

Kwa hiyo,tusubiri TUONE akiajiri wale WALIMU 13,000 alioahidi pamoja na kada Nyingine....kwani ndio KWANZAAAAA ameapa......
Kulikua na skilled Labour, mkonge ulitengenezwa nyuzi za katani na kulikua na machine operators, kulikua na madereva wa kupeleka mizigo bandarini, kila shamba lilikuwa a shule na hospitali kwaajili ya wafanyakazi na watoto wao. Shule ziliajiri waalimu na hospitali ziliajiri wauguzi.
Wote hawa walilipa kodi.
 
Mkuu kwani LEO hii huo mtiririko wote wa MAZAO...mpaka yafike kwa mtumiaji na mlaji hayatengenezi AJIRA?!!!!

Leo Kuna VIJIJI vingi zaidi ya vile vya mkoloni....

Je VIJIJI vya sasa huwa vinakosa DISPENSARY?!!!
Je vinakosa SHULE?!!!

Yaani huko nyuma Kulikuwa na SHULE NYINGI ZA Msingi,Sekondari,VETA,vyuo na vyuo vikuu?!!!

Aagh mkuu wangu wa Birmingham 😂😂
 
Mkoloni aendelee kukutawala wewe na wenye mawazo kama yako. Umri ni factor katika uongozi , kadri unavyokuwa mkubwa ndivyo na uwezekano (yamkini) unavyopungua, huo ni ukweli!
Moses aliwatoa wana Israël Misri akiwa na miaka mngapi??? Nuhu alikuwa kwenye mission ya Mungu akiwa na miaka mingapi???

Umepata wapi hiyo Notion kuwa umri ni factor katika uongozi??? Maaana hata kwenye vitabu vitakatifu haipo???

Hujioni kuwa inastahili kutawaliwa tena na mkoloni ili akili yako ifinguke??
 
Mkuu kwani LEO hii huo mtiririko wote wa MAZAO...mpaka yafike kwa mtumiaji na mlaji hayatengenezi AJIRA?!!!!

Leo Kuna VIJIJI vingi zaidi ya vile vya mkoloni....

Je VIJIJI vya sasa huwa vinakosa DISPENSARY?!!!
Je vinakosa SHULE?!!!

Yaani huko nyuma Kulikuwa na SHULE NYINGI ZA Msingi,Sekondari,VETA,vyuo na vyuo vikuu?!!!

Aagh mkuu wangu wa Birmingham 😂😂
Kwa iyo Kama mkoloni angeendelea kutawala hadi leo kusingekuwa na huduma za hospitali kwenye vijiji??? Tena kwa taarifa zako ndo tungekuwa na hospitali bora zaidi na zenye wataalamu Bora zaidi kuliko hizi zenu ambazo hata dawa kupata tu ni mtihani.
 
Kuna vijiji mvua zikinyesha mazao yanaozea shambani bara barabara hazipitiki, vijana wanalima nyanya wanakosa soko la kuuzia, hakuna systematic organisation ya soko la mazao. Korosho wakulima waliporwa.
 
Naona umejichanganya hapa kidogo.
Kamara Harris ndiyo mtu mwenye asili ya kijamaika na kihindi. Wazazi wake wote wawili ni wahamiaji na sio vingine. Yaani yeye ni citizen by Birth!
Mtoto wa wahamiaji nae ni nani kwenye reality???
 
Wamebaguliwa wapinzani, sasa wanaanza kujibagua wenyewe kwa wenyewe...

Cc: mahondaw
....hatukujibagua pale mh.Kikwete alipolisimamia zoezi marehemu mzee Sitta asirudi uspika kwa chama kuamua kuwa ni muda was nafasi za akina mama na mh.Anne Makinda KUWA SPIKA?!!!

Wala hakuanza mh.Magufuli...

Hayo ni mambo ya ndani ya CCM na yako maamuzi YANAYOWASHANGAZA(sisi hayatushangazi)wa nje kuliko hata hilo la leo......

CCM ni ile ileee ooo ni ile ileeeeeee.....
 
Kwa iyo Kama mkoloni angeendelea kutawala hadi leo kusingekuwa na huduma za hospitali kwenye vijiji??? Tena kwa taarifa zako ndo tungekuwa na hospitali bora zaidi na zenye wataalamu Bora zaidi kuliko hizi zenu ambazo hata dawa kupata tu ni mtihani.
Hospital unaambiwa uende na lita ya mafuta ya taa, gloves za mkunga na wembe mpya wa kukatia kitomvu ukimpeleka mama kujifungia. Miaka 60 baada ya uhuru.
 
Kuna vijiji mvua zikinyesha mazao yanaozea shambani bara barabara hazipitiki, vijana wanalima nyanya wanakosa soko la kuuzia, hakuna systematic organisation ya soko la mazao. Korosho wakulima waliporwa.
Huko zamani za mkoloni MVUA hazikuwepo?!!!!
Kwani Wala hakujibidiisha KUJENGA MIUNDO MBINU kwa ajili ya WAZAWA....zaidi ya RELI ya kwenda kwenye mashamba ya "KORONA YA MKONGE" na ile barabara "moko" ya DAR-TANGA-MOSHI....

Jakaya ameiunganisha MIKOA...
Magufuli amekuja na TARURA....

Mkuu umesahau malengo ya JPM ya nchi ya viwanda?!!!

Ndio sasa ninyi DIASPORA mumobilize wenzenu muje kuwekeza VIWANDA VIDOGOVIDOGO tuyaongezee MNYORORO WA THAMANI hayo mazao YASIOZE...
 
Kwa iyo mzungu angeendelea kuwepo asingejenga barabara??? South Africa tu mzungu kakaa hadi mwaka 1990 iko vile kimiundombinu, sie angekaa hadi mwaka huo tu tungekuwa wapi kama kwa miaka ile tu alijenga reli na vitu vingi???
 
Hospital unaambiwa uende na lita ya mafuta ya taa, gloves za mkunga na wembe mpya wa kukatia kitomvu ukimpeleka mama kujifungia. Miaka 60 baada ya uhuru.
Mkuu yaani hospital inataka mafuta ya taa?!!!

Utakuwa unachanganya na KITUO CHA AFYA ama ZAHANATI za huko Kijijini.....

Well hii ni changamoto Katika baadhi ya maeneo....

Magufuli amejenga ZAHANATI VITUO VYA AFYA NA HOSPITALI kuliko RAIS YEYOTE aliyepita....

Pale MARA wakurya wajaluo wazanaki hawakuwa na HOSPITALI ya RUFAA japo JKN alitokea pale....leo WANASHUHUDIA ukamilishwaji wa PROJECT HIYO KUBWA....

Nikumbushe tu kuwa MH.SAMIA SULUHU HASSAN ameshatoa tamko kisheria kuwa MWANAMKE yeyote ANAJIFUNGUA bila ya kupeleka MAHITAJI HAYO....tuweke ubishi pembeni.....Katika HOSPITALI za serikali WAJAWAZITO wanafanyiwa C/S(UPASUAJI) bureee...kuanzia zoezi lenyewe mpaka zile dawa zao baada ya UPASUAJI....labda usiwe wa DHARURA....

Halafu Ni mwiko kwa mama kutakiwa FEDHA...huwa wanaogopa tu na wenyewe kutangulia KUWAHONGA hao WAKUNGA...hebu itokee mama asiwe na VIFAA,asitoe HONGO halafu WAMUACHE NA KUMSUSA KUMHUDUMIA.....
👆👆
HILO HALIWEZEKANI
 
Kwa iyo mzungu angeendelea kuwepo asingejenga barabara??? South Africa tu mzungu kakaa hadi mwaka 1990 iko vile kimiundombinu, sie angekaa hadi mwaka huo tu tungekuwa wapi kama kwa miaka ile tu alijenga reli na vitu vingi???
Sawa....

Huko South Africa mbona KABURU hakuijenga VYEMA SOWETO?!!!

Kule SOWETO Kuna miundo msingi bora?!!

Iko inayolingana na MAENEO wanaoishi wao?!!

Anzia barabara,maji,shule,plan ya mji,vyoo na HOSPITALI ..
 
Mimi nitakubaliana daima na Bw. Pieter Bother (Rip) kuwa ni kosa lisilosameheka kumpa mwafrika haki ya kutawala. Mwafrika hakuumbwa kutawala ila kutawaliwa tu. Period.
 
Amani iwe nanyi.

Wakati Joe Biden akiwa ameshinda kiti cha Urais wa Marekani akiwa na miaka 78 Makamu wake mtarajiwa Bi Kamala Harris alitoa hotuba nzuri iliyosisimua watu wengi sana.

Kamala akiwa binti aliyezaliwa na wazazi wote wahamiaji waliotoka nje ya Marekani yaani Baba mwenye asili ya Jamaica na mama mwenye asili ya India alitoa hotuba kali sana huku akisifia Uzuri wa Marekani kuwa ukiwa na ndoto yeyote ile Marekani unaweza kuitimiza haijalishi unatoka familia gani, au wewe ni nani au umetoka kwenye background gani au ni mtu wa namna gani. Hii kwa Wamarekani wanaita American dream.

Hili limejidhihilisha kuanzia kwa Joe Biden hadi kwa Kamala Harris.

Kwa Joe Biden amekuja kushinda Urais wa Marekani akiwa na miaka 78, huku akiwa alishajaribu mara mbili huko nyuma kuwa Rais na kushindwa.

Kwa Kamala amekuwa Makamu wa Rais huku akiwa ni mtoto wa wahamiaji.

Ila kwa Tanzania leo hii Magufuli akiwa anahutubia baada ya kuwaapisha Majaliwa, Kabudi na Mpango amesema kitu ambacho kwa watu wenye akili ni jambo ambalo linahuzunisha na kuumiza sana.

Amesema watu walio na umri mkubwa kumzidi hawawezi kuwa Marais na hata kama wana hizo ndoto basi wazifute. Alienda mbele na kuwataja Lukuvi na Kabudi

Hii inamaanisha nini?

Hii inamaanisha kwa Tanzania chini ya Magufuli na CCM mtu hata akiwa na ndoto yake ya kuwa mtu fulani au kufanikisha jambo fulani basi hiyo ndoto yake hawezi kuifanikisha hadi ipate ridhaa ya watu fulani wenye uwezo wa kuamua hatma yake.

Hii ina maanisha pia kwa Watanzania ndoto zetu tulizonazo juu ya maisha yetu wala haziamuliwi na Mungu bali mtu mkuu anayechukua madaraka.

Kwa hali ni Bora Tanzania tungeendelea kutawaliwa na Wazungu mpaka tupate akili na kustaarabika ndio wangetuachia tujitawale.

Na kwa hali hii ndio maana hatutakuja kupata maendeleo ya kweli ya kwetu hadi pale tutakapojua na kukubaliana kuwa CCM ndio mchawi wa ustawi wa Tanzania.
Wewe ni bure kabisa.
Heri hukuwepo wakayi wa kupigania uhuru aiseee.
 
Kulikua na skilled Labour, mkonge ulitengenezwa nyuzi za katani na kulikua na machine operators, kulikua na madereva wa kupeleka mizigo bandarini, kila shamba lilikuwa a shule na hospitali kwaajili ya wafanyakazi na watoto wao. Shule ziliajiri waalimu na hospitali ziliajiri wauguzi.
Wote hawa walilipa kodi.
Dada ficha ujinga wako.... Kila shamba lilikuwa na shule n dispensary can u prove that
 
Mnaotaka kuendelea kutawaliwa na mkoloni, chukueni namba za Amsterdam, mwende kuleee kwa yule Mr Mzungu aliyejisepea zake juzi kati hapa.
 
Sisemi kitu. Ila ni hoja ya kufikiria sana. Kwa hakika, mabaya yote ya Wakoloni bado yapo, ila mazuri yao hakuna!
 
Back
Top Bottom