Kifaru86 JF-Expert Member Apr 22, 2017 1,734 3,802 Jul 27, 2020 #1 Mahusiano ni sawa na uhai wa binadamu yanazaliwa yanaishi yanakufa iwe ndani ya ndoa au ndani ya uchumba. Je, utafanyaje ukigundua mwenza wako ameshakuchoka iwe ndani ya ndoa Au uchumba?
Mahusiano ni sawa na uhai wa binadamu yanazaliwa yanaishi yanakufa iwe ndani ya ndoa au ndani ya uchumba. Je, utafanyaje ukigundua mwenza wako ameshakuchoka iwe ndani ya ndoa Au uchumba?
Me I and my self JF-Expert Member Sep 16, 2016 4,029 8,637 Jul 27, 2020 #2 Ndoa mnaweza chokana lakina mkaendelea hivyo hivyo mpaka kieleweke...
BAHARI J JF-Expert Member Nov 2, 2016 910 1,128 Jul 27, 2020 #3 Aisee kama ni mapenz bora uachane nae tuuu ila kama mke, Itabid Ujitathimin ni wap una kosea
Kifaru86 JF-Expert Member Apr 22, 2017 1,734 3,802 Jul 27, 2020 Thread starter #4 shiu yang said: Ndoa mnaweza chokana lakina mkaendelea hivyo hivyo mpaka kieleweke... Click to expand... Duu kama ni ndoa haina mwaka umeshachokwa
shiu yang said: Ndoa mnaweza chokana lakina mkaendelea hivyo hivyo mpaka kieleweke... Click to expand... Duu kama ni ndoa haina mwaka umeshachokwa
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,046 54,335 Jul 27, 2020 #5 BAHARI J said: Aisee kama ni mapenz bora uachane nae tuuu ila kama mke, Itabid Ujitathimin ni wap una kosea Click to expand... Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ametoa Muongozo Kwa Wapenzi Ila Siyo Mke!!! Your browser is not able to display this video.
BAHARI J said: Aisee kama ni mapenz bora uachane nae tuuu ila kama mke, Itabid Ujitathimin ni wap una kosea Click to expand... Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ametoa Muongozo Kwa Wapenzi Ila Siyo Mke!!! Your browser is not able to display this video.
Kashaulo JF-Expert Member Jun 14, 2019 2,903 4,869 Jul 27, 2020 #8 Waziri wa Kaskazini said: View attachment 1518953 Click to expand... Maelezo tafadhali, uliulamba kuelekea Taifa au JKIA.?
Waziri wa Kaskazini said: View attachment 1518953 Click to expand... Maelezo tafadhali, uliulamba kuelekea Taifa au JKIA.?
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Dec 12, 2015 6,981 14,752 Jul 27, 2020 #9 Kashaulo said: Maelezo tafadhali, uliulamba kuelekea Taifa au JKIA.? Click to expand... Huyo ni mjumbe ndugu yangu
Kashaulo said: Maelezo tafadhali, uliulamba kuelekea Taifa au JKIA.? Click to expand... Huyo ni mjumbe ndugu yangu
Kifaru86 JF-Expert Member Apr 22, 2017 1,734 3,802 Jul 27, 2020 Thread starter #10 Waziri wa Kaskazini said: Huyo ni mjumbe ndugu yangu Click to expand... Hahaaaa
Carlos The Jackal JF-Expert Member Feb 6, 2017 24,052 71,323 Jul 28, 2020 #11 Ndani ya ndoa mahusiano yalipaswa kufa nakuzikana Basi tu siku hizi mmeyafanya ivo.