Ni hatari kutumia simu wakati radi zinapiga

Yeah that day nilikuwa naelekea cafe kula na sita kuja isahau kamwe nilirusha simu zangu zote mbili nakulala chini ile siku ni ushaidi tosha sina hamu na radi.
Mitaa ya block 4..Jaman ile radi kwa kelele ilizopigika tulijua haitoacha tu ni lazima iue..Nami nilikuwa block 2 ghorofan tena muda huo naongea na simu..yani nilijikuta simu nimeitupa tokea ghorofan,,bahati nzuri ilitua kwenye bustan..Na tabia zetu za kuongelea símu dirishani.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Mwanachuo mwenzetu live mwaka 2011 Udom siku ya graduation saa moja usiku alikuwa na wenzake wakitokea cafeteria na muda huo wengi tulikuwa tunaenda na wengine kutoka kula na wakati miale ya mwanga inapiga yeye alikuwa busy kuongea na simu ilimuunguza palepale hadi kiatu kiliyeyuka upande alioshika simu.[/QUOTE
simu ilipata madhara yoyote? Huku kwetu kuna familia
ya watu watatu iliuwawa na radi wakati wakiwa wanapalilia mahindi madogo. Mmoja alikuwa na simu na simu yake ikakutwa bado ni nzima inafanyakazi. Ila nguo zake ziliraluliwa vipande vipande. Tunajifunza nini?
 
Ukiwa una bisha tafuta na ushahidi wa kisayasi kuthibitisha kila unachokipinga vinginevyo ni ubishi usio na maana yoyote

wewe ulithibitisha vipi kwamba simu ndio ilikuwa chanzo? Kwani radi haliwezi kuua mtu ambaye hana simu?
 
Mwanachuo mwenzetu live mwaka 2011 Udom siku ya graduation saa moja usiku alikuwa na wenzake wakitokea cafeteria na muda huo wengi tulikuwa tunaenda na wengine kutoka kula na wakati miale ya mwanga inapiga yeye alikuwa busy kuongea na simu ilimuunguza palepale hadi kiatu kiliyeyuka upande alioshika simu.[/QUOTE
simu ilipata madhara yoyote? Huku kwetu kuna familia
ya watu watatu iliuwawa na radi wakati wakiwa wanapalilia mahindi madogo. Mmoja alikuwa na simu na simu yake ikakutwa bado ni nzima inafanyakazi. Ila nguo zake ziliraluliwa vipande vipande. Tunajifunza nini?

Nimejifunza / Nimedhibitisha kuwa umeme huchagua njia rahisi zaidi (Low resistance), Ok concept inakuja hivi, Umeme wa radi umevutwa kwako kutokana na Electromagnetic waves za simu yako lakini kutokana na sifa ya umeme ya kuchagua njia rahisi, automatically wewe ambaye uko connected to Earth moja kwa moja ndiye njia rahisi. So umeme moja kwa moja utapitia kwako na kuacha ile njia ya kwanza iliyouleta.
 
kaka mimi sita acha kutumia simu wakati wa radi
nna sisitiza kwa herufi kubwa RADI HAI ZURU mtu akiwa anaongea au ka power on simu!
.
RADI za ajabu tena kali zime piga mara kibao tu cha ajabu sijaona mtu zime mzuru huku akiwa ka power on simu!
.
Na kwa kawaida hizi Sayansi za kienyeji ndizo zinazo leta matatizo hizi!
Mtu ana mtumia mwenzake Radi! Hii ndiyo mbaya sana !
.
Na mtu akifa kwa Radi ujue there is some thing beyond the situation!

Acha uongo mwezi uliopita kunahabari ilitangazwa kuwa ktk wilaya ya Bagamoyo watu 2 walipigwa na radi katika naeneo tofauti mmoja wapo alikuwa ameeadha simu na kuiweka mfukoni huku mvua ikinyesha akapigwa na radi.
Unajiona kwa vile unakaa magorofa city center huwezi kupigwa radi sasa siku mvua ya radi ikukute kijijini au porini uone kama hutoizima simu bila hata ya kuambiwa
 
wewe ulithibitisha vipi kwamba simu ndio ilikuwa chanzo? Kwani radi haliwezi kuua mtu ambaye hana simu?

Radi inakupiga hata kama uko chini ya mti, ila kama upo ndani mara nyingi epuka kukaa karibu na vitu vyovyote vyenye kupitisha umeme mfano vyuma,tv viti vy chuma etc
 
Mitaa ya block 4..Jaman ile radi kwa kelele ilizopigika tulijua haitoacha tu ni lazima iue..Nami nilikuwa block 2 ghorofan tena muda huo naongea na simu..yani nilijikuta simu nimeitupa tokea ghorofan,,bahati nzuri ilitua kwenye bustan..Na tabia zetu za kuongelea símu dirishani.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Hahaaa umenikumbusha hiyo tabia me nilikuwa nje pale msituni kati ya Haiti na Block 5 naenda taji kula na simu zangu 2 moja nilikuwa nachati Facebook nilishangaa simu nilizitupaje nililala chini na kuziba masikio maana lile ngurum.
 
Nimejifunza / Nimedhibitisha kuwa umeme huchagua njia rahisi zaidi (Low resistance), Ok concept inakuja hivi, Umeme wa radi umevutwa kwako kutokana na Electromagnetic waves za simu yako lakini kutokana na sifa ya umeme ya kuchagua njia rahisi, automatically wewe ambaye uko connected to Earth moja kwa moja ndiye njia rahisi. So umeme moja kwa moja utapitia kwako na kuacha ile njia ya kwanza iliyouleta.

Huyo mwanafunzi wa Dodoma aliungua sana nusu upande wa alikuwa anaongea na simu begani hadi kiatu kiliungua na nguo kuchanika obvious simu ndo ilikuwa chanzo kwake maana hakuwa peke yake nje wengi tu hata mm pia nilikuwepo nje tena eneo la wazi kabisa pasipo ht na mti na jengo na sio mbali sana na eneo tukio lilipo tokea.
 
Yah, hiyo ndio point yangu. Kulingana na mazingira uliyotaja hapo juu hakukuwa na njia nyingine rahisi ya umeme wa radi kupita, automatically ilifuata electromagnetic waves za simu, lakini pia simu inaweza isipigwe kwa kuwa umeme ukishakukaribia basi njia rahisi ya kupita kati itakuwa ni kupitia kwako direct na si kwenye simu. Umeme hupita kwenye low Resistance. So Naunga mkono na kutoa sababu pia kwanini simu inaweza isiharibike
 
Hio ni asilimia chache mno kutokea japo ni vyema kuchukua tahadhari tuwapo maeneo ya wazi na vitu ambavyo vinatoa electromagnetic waves Japo ni asilimia moja radi kupita conductor zote kama miti au metak ktk majengo na conduct na simu yako
 
Back
Top Bottom