Ni hatari kutumia simu wakati radi zinapiga

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,105
Reaction score
34,926
1796460_486664951455326_36361719_n.jpg

ONYO...!

NI HATARI KUTUMIA SIMU WAKATI RADI ZINAPIGA

Professor Liu Shuhua, kutoka idara ya Atmospheric science katika chuo kikuu cha Perking nchini china alithibitisha kuwa Mionzi inayotolewa na simu ( electromagnetic waves ), ni good conductor of Electricity, simu huwa kama receiver wakati radi zinapiga, kwani radi ni umeme tosha, na endapo itapata mwanya mzuri wa kutua katika receiver hiyo ndo hapo itakapo tokea dhuruba kwa mtumiaji wa simu hiyo.

Inashauriwa kutokaa maeneo ya wazi wakati radi zinapiga, pia kuzima simu, na vifaa vyote vinavyotumia network conncetions.
 
Asante mkuu, kwa hiyo simu haina tecnolijia ya kuzuia radi. ?
 
kaka mimi sita acha kutumia simu wakati wa radi
nna sisitiza kwa herufi kubwa RADI HAI ZURU mtu akiwa anaongea au ka power on simu!
.
RADI za ajabu tena kali zime piga mara kibao tu cha ajabu sijaona mtu zime mzuru huku akiwa ka power on simu!
.
Na kwa kawaida hizi Sayansi za kienyeji ndizo zinazo leta matatizo hizi!
Mtu ana mtumia mwenzake Radi! Hii ndiyo mbaya sana !
.
Na mtu akifa kwa Radi ujue there is some thing beyond the situation!
 
Jamani msibishe tu eti kwa vile hamjashuhudia. Ninavofahamu Mimi vijijini watu wanapigwa sana na radi kwa mjini inakuwa nadra sababu ya wingi wa mawimbi ya kielectronic. Nishaona watu watatu wanapigwa wakiongea na cm kijijini
 
Kwa hiyo uliwasaidiaje?
 
Jamani msibishe tu eti kwa vile hamjashuhudia. Ninavofahamu Mimi vijijini watu wanapigwa sana na radi kwa mjini inakuwa nadra sababu ya wingi wa mawimbi ya kielectronic. Nishaona watu watatu wanapigwa wakiongea na cm kijijini

.
Daaa uongo mtakatifu
.
 
ndio mana kuna minara ya cm na inakuwa na erthing securit kubwa ili kuzuia hilo hakuna radi inayo weza kuua mtu sababu ya cm .ile mina ina security kubwa sana kuzuia hilo na ndio mana wale wanao kaa jirani na minara halafu nyumba zao zikawa zimesukwa earth vizuri ,huwezi kusikia hata siku moja vifaa vya ndani vimepigwa na radi.
 
kaka mimi sita acha kutumia simu wakati wa radi
nna sisitiza kwa herufi kubwa RADI HAI ZURU mtu akiwa anaongea au ka power on simu!
.
RADI za ajabu tena kali zime piga mara kibao tu cha ajabu sijaona mtu zime mzuru huku akiwa ka power on simu!
.
Na kwa kawaida hizi Sayansi za kienyeji ndizo zinazo leta matatizo hizi!
Mtu ana mtumia mwenzake Radi! Hii ndiyo mbaya sana !
.
Na mtu akifa kwa Radi ujue there is some thing beyond the situation!

kwa kweli mie nimeshudia radi ikimuua mtu aliekua anaongea na simu huku akitembea.wakati anatembea radi ilipga na kumuuua yeye hapo hapo na kumuunguza nusu ya mwili wake sehemu ya upande wa simu aliokua anaongelea.hii ilitokea udom
 
Maskini pole yake aisee
,
Wakati ina mpiga wewe ulikuwa umezima simu?
.
.
 
Ni kweli kabisa,,niña ushahudi na jirani yetu ila yeye haikumuua ila ámepata tatizo la kutosikia,,,Wamesema mionzi ilimuathiri kidogo

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
.
Maskini pole yake aisee
,
Wakati ina mpiga wewe ulikuwa umezima simu?
.
.

Kweli kabisa,,kama sikosei ilikuwa usiku kama saa mbili karibu na transformer pale social science,,radi ilipiga na jamaa akapoteza Maisha hapohapo

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
kwa kweli mie nimeshudia radi ikimuua mtu aliekua anaongea na simu huku akitembea.wakati anatembea radi ilipga na kumuuua yeye hapo hapo na kumuunguza nusu ya mwili wake sehemu ya upande wa simu aliokua anaongelea.hii ilitokea udom
Ilitokea pale social science karibu na tránsformer,,jamaa alifariki hapohapo baada ya radi kali kupiga

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
.
Ume wahi kumshuhudia nani kafa naradi kisa simu!?
.

Mwanachuo mwenzetu live mwaka 2011 Udom siku ya graduation saa moja usiku alikuwa na wenzake wakitokea cafeteria na muda huo wengi tulikuwa tunaenda na wengine kutoka kula na wakati miale ya mwanga inapiga yeye alikuwa busy kuongea na simu ilimuunguza palepale hadi kiatu kiliyeyuka upande alioshika simu.
 
Ilitokea pale social science karibu na tránsformer,,jamaa alifariki hapohapo baada ya radi kali kupiga

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Yeah that day nilikuwa naelekea cafe kula na sita kuja isahau kamwe nilirusha simu zangu zote mbili nakulala chini ile siku ni ushaidi tosha sina hamu na radi.
 
.
Maskini pole yake aisee
,
Wakati ina mpiga wewe ulikuwa umezima simu?
.
.

Wengi hatukuzima ila yeye alikuwa anaongea na simu. Hiyo ishu wana Udom wa kipindi kile tulishuhudia na kesho yake asubuhi tukaaga mwili wake pale Chimwaga mchana graduation ya pili ikaendelea it was 2011 Nov sio mbali mkuu.
 
Hapa njombe mtu alikufa na simu iliwaka moto , acha ubishi wewe huna lolote, hata diode yenyewe hujui kuiunda bado ubishi tu.
.
Sasa hayo yote yame fikaje?
.
Afu hizi ni ID tu bwana mdogo usi ashume tu kwamba huyu hawezi hiki kirahisi rahisi tu.....
.
Mimi huo ndiyo msimamo wangu mimi sijaja kubishana na mtu hapa! Kama ndugu yako wali Mroga then who Knows me or you..... Ok leave pie as pie
.
Damn very bored aghhhh

Ukiwa una bisha tafuta na ushahidi wa kisayasi kuthibitisha kila unachokipinga vinginevyo ni ubishi usio na maana yoyote
 
Back
Top Bottom