Ni hatari kufanya ardhi kuwa mali binafsi tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni hatari kufanya ardhi kuwa mali binafsi tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by ba nso, Sep 28, 2012.

 1. b

  ba nso JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 639
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Ndugu wanajukwaa, ardhi kwa Tanzania ni mali ya umma (yetu sote) na ipo chini ya usimamizi wa Rais. Mtu akipatiwa kipande cha ardhi, anapata haki ya kukitumia kwa muda usiozidi miaka 99. Nionavyo mimi huu utaraibu ni mzuri sana mana unatuepusha maskini kugombea ardhi na matajiri ambao wangenunua ardhi yote na kutufanya sisi wapangaji wao, kama ilivyo kazi maskini kua na nyumba kenya na kwingineko.

  Je wanasheria na wadau mwaonaje kuhusu utaratibu huu? ubadilishwe ili ardhi iwe mali binafsi?
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Fafanua "wadau" ndio nani kabla sijachangia zaidi.
   
 3. b

  ba nso JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 639
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Jogi, mdau ni mtu yeyote anayeona jambo hili linamuhusu na anaweza lizungumzia. Na hapa ni kila mtanzania. karibu tafadhari.
   
Loading...