Tena udugu, urafiki na ujamaa huisha kwa kukopeshana helahata wanaume pia hatulipi..
Hahaahaah" hata kama ulikuwa huna mawazo ya kumtongoza yatakuja tu baada ya kuona kulipwa kwako ni 10% utaona bora ujipoza tu.KAMA UNA MAHUSIANO NA E YA KINGONO MMMM HAPO KUBALIANA NA LOOTE HATA KUKOPWA ZAIDI YAN DEN JUU YA DEN NA UNAKUWA MPOLE TU CHEZEA KE WEWE