Ni hatari kubwa sana mwanaume kumkopesha pesa mwanamke

mchonjoya

Member
Aug 17, 2016
80
198
Habari wanaJF

Kila mtu anajua pesa ilivyo ngumu kupatikana, hivyo kila mtu anakuwa makini na matumizi ya pesa yake.

Pamoja na ukata tulio nao, bado ndani ya mioyo yetu kumejaa huruma na kamwe huwezi kumuacha ndugu yako, jirani yako hata mpita njia akiwa anateseka kwa kukosa Tshs 100/=ya kununua andazi au nauli ya daradara ukamyima ukiwa kweli unayo. Roho hiyo wa Watanzania hatuna.

Sasa ni bora usaidie ukiwa roho inatambua kuliko kumkopesha mwanamke pesa. Najua sio wote ila wengi wao ukimkopesha pesa yako jua umeumia.

Mambo matatu yatakutokea
1) Hutoweza kumdai kwa nguvu
2) Chochote atakachokuambia hutabisha
3) Mwisho utasamehe

Namalizia kwa kusema MWANAUME NI DHAIFU MBELE YA MWANAMKE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwiasho wa siku unapewa nyuchi. kuna mmoja alinikopa laki mbili. mwisho wa siku alikuja kuchezea fc libolo ya angola. hivi sasa sikopeshi
 
KAMA UNA MAHUSIANO NA E YA KINGONO MMMM HAPO KUBALIANA NA LOOTE HATA KUKOPWA ZAIDI YAN DEN JUU YA DEN NA UNAKUWA MPOLE TU CHEZEA KE WEWE
 
Kuna demu nilimkopesha laki,kabla alikuwa kila siku texts,japo muda wa kulipa bado lakini siku hizi hata simu hapokei.
Nachopigania nimtie tu tumalizane coz alishawahi kunipa mzigo kushawishi mkopo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom