Ni halali mbunge kuajiriwa Ikulu?

Kama Samia anasema LUKUVI amemteua kumsaidia huko IKULU kuwaongoza hao mawaziri anaosema wadogo wakina RIDHWANI kuwasimamia; maana yake ni kwamba atachukua kazi ya Majaliwa kama waziri Mkuu!!!
Kumuondoa waziri mkuu ni lazima uvunje baraza lote la mawaziri (japo kwa Tz huenda isiwe lazima)...na hilo sioni likitokea
 
Kumuondoa waziri mkuu ni lazima uvunje baraza lote la mawaziri (japo kwa Tz huenda isiwe lazima)...na hilo sioni likitokea
Yale mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatosha kudhihirisha kuwa Waziri Mkuu Mpya anahitajika!!! Kumbuka huyu ni Waziri Mkuu wa JIWE ambaye anahisiwa kuwa alikuwa mmoja kati ya walokuwa wanampango wa kumkwamisha Samia kurithi kiti cha Urais!!!
 
Yaan hapo lukuvi na kabudi wawe makini wanaenda kuangushiwa jumba bovu. Mikataba yote uchwara na uchafu wote wa kile kinachoitwa awamu ya 6 watabeba wao.

Baada ya kelele nyingi za mitaani na mitandaoni kuhusu lukuvi wanataka kumpa cheo cha usaidizi ikulu, usaidizi sahihi ni ule ndani ya mfumo ambao ni uwaziri.

Lukuvi na Kabudi msikubali hivyo vyeo uchwara lengo ni kuwamaliza kisiasa. Kama mnashida na ukwasi uchwara nendeni.
 
Kama kaajiriwa onyesha mkataba.. otherwise
Usipende kunena usiyajua dogo kisa bando lako la jero...
Pambaf

Matusi yametokea wapi?. Wewe ndio pumbaf. Halafu Mimi sio dogo uwe na heshima. Kuuliza Kama Ni halali mbunge kupewa kazi ikulu ndio unitukane. Jiheshimu Sana.
 
Watakuwa ni mawaziri wa nchi katika ofisi ya rais ikulu au manaibu waziri wakuu. Mzee Hassan Mwinyi alipokuwa rais alimteua Augustino Lyatonga Mrema kuwa Naibu Waziri Mkuu, cheo ambacho hakiko kwenye katiba na mambo yalienda vizuri sana.
 
Matusi yametokea wapi?. Wewe ndio pumbaf. Halafu Mimi sio dogo uwe na heshima. Kuuliza Kama Ni halali mbunge kupewa kazi ikulu ndio unitukane. Jiheshimu Sana.
Kama ni mtu mzima unashindwaje kujua kwamba ajira inamkataba.. jiheshimu siku nyingine usije na nyuzi za hovyo.
N.B
Nisamehe kama nimekukwaza
 
Hii nchi hata kichaa anaweza akapewa u Rais na mambo yakaenda tu. Kichwa cha mwendawazimu
I lay the blame at the door of Julius Nyerere

kuna siku alipokuwa ashastaafu Nyerere aliongelea mwamko mdogo wa Watanzania kupinga uvunjwaji wa katiba

akasema hakutegemea au hakudhamiria kujenga nchi ya watu waoga au mazuzu kiasi hiki

at some point Nyerere alijua alichofanya na alijutia kosa lake la kuunda nchi ya ki-chifu na ki-falme chini yake yeye ambayo "Mkuu wa Nchi" anaweza akajifanyia chochote, na ukihoji unafungwa Ukonga miaka kumi at best, or worse unatupwa baharini kama Waziri wa Nchi Kassim Hanga na Balozi wa Marekani Othman Shariff ....
 
Back
Top Bottom