Roho Mbaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 777
- 677
Katika pitapita zangu maeneo fulani tukiwa kijiweni, alipita jamaa akiwa ameambatana na kimada chake kabebeshwa mkoba wa kike huku kimada kikiwa hakijabeba kitu chochote tena mkoba wenyewe mkubwa.
Ghafla pale kijiwezi kukazuka mjadala na kuanza kumjadili jamaa lakini walikuwa wanaponda sana kuwa anadhalilisha wanaume.
Nimeona hii mada niihamishie humu jamvini naweza kupata majibu yenye uhakika zaidi maana wanaume nao wamezidi kupotea hapa duniani