Ni haki kumwabudu marehemu?
Huyu sio bure atakuwa katoroka mirembe !!!??!!
Mhubiri 9:5 unasema mtu akifa hajji chochote, Hana kumbukumbu tena
Haya nipe faida unayopewa na marehemu.
siwezi kubishana na mtu anayejua zaidi yangu, ila subiri ufiwe na mama yako utapata jibu.
Pumzi ya mungu + udongo = MTU. Na MTU toa pumzi inabaki UDONGO.
Sasa unapoabudu udongo maanake akili yako sio timamu. Abudu aliefinyanga huo udongo na kupulizia pumzi yake akatokea adam
Kimsingi si sahihi na hata kibiblia pia c sahihi na nikosa kubwa Hakuna ibada ya wafu pia na MTU akifa ni hukumu nyinyi hata mkiomba Mara mia kwa cku haisaidia ushauri ACHENI KUTENDA MABAYA JIFUNZENI KUTENDA MENA
Hili ni fumbo la imani...!
Kwanini utupe mchicha wakati kuna watu wanahuhitaji waule na kwa desturi za wanadamu maiti huzikwa na wengine huchoma ila mchicha huliwa je maiti unakusaidiaje mheshimiwa?
Ubaya wa ugonjwa huu siku zote ukiwa nao huoni kama unaumwa ila unamuona mwenzio kuwa ndiye mgonjwa. Jitathimini.swali la nyongeza kwako.Mbona baba humsemi unamkazania mama tu?
usiogope rungu uogope kuongelea mambo ya mila tu?
usipende ubishani usio na maana.
Huwez mtu kusema ni bora utupe jalalani maiti ya mamaako mzazi iliwe na mbwa kuliko kutupa fungu la mchicha.
Ukijua maana ya neno IMANI utakuwa umshapata jibu lako......kwani nilianza na neno......kwa watu wa IMANI..Hayo maisha ya mtu baada ya kifo unaweza kunipa uthibitisho kwamba kweli huwa wanaishi au ni uvumi tu mkuu?