Ni furaha kubwa,hakika michezo huunganisha watu,wakenya wapo njiani kuishangilia morocco!

Ni furaha kubwa,hakika michezo huunganisha watu,wakenya wapo njiani kuishangilia morocco!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,091
Hakika michezo ni kiungo muhimu sana katika jamii zetu,michezo imeua nguvu za gachagua katika kusababisha maandamano yasiyo na msingi na sapoti,
Wakenya wapo njiani kuja kuwashabikia Morocco!
Screenshot_20250822-074314~2.jpg
 
Hakika michezo ni kiungo muhimu sana katika jamii zetu,michezo imeua nguvu za gachagua katika kusababisha maandamano yasiyo na msingi na sapoti,
Wakenya wapo njiani kuja kuwashabikia Morocco!View attachment 3448665
wacha watuchangamshe TZ sisi ni mazezeta sana tunachezewa na serikali yetu tumelala ikiwezekana wakifika wasiondoke tuchanganye damu
 
Back
Top Bottom