ni fanye nin kuhusu mke wangu?

ni fanye nin kuhusu mke wangu?

hiiiiiiivi hii breed ya wanaume wa aina hii ilitokea waaaapi!ah!
 
Tulishi kwa amani upendo furaha baada tu ya kumaliza mktaba wangu na kampuni ya GGM mkoani Geita mke wangu alibadilika sana akawa na mazoea na rafiki yangu sikujali sana maana ilikuwa kawaida sk baada sk mambo ya kifedha kwangu hayakuwa mazuri nikaenda A town kutafuta riziki baada ya miezi 4 naludi nyumbani namkuta mke wangu ni mjamzito nikapeleleza nikagundua ni ya rafiki wangu kipenzi tena kwa macho yangu na masikio yangu nawaona wakiwa wamelala wakifanya mapenzi sebuleni kwa rafiki yangu. Je nifanyeje? Naombeni mnisaidie
Ndugu yangu pole sana,
kwa asilimia kubwa sasa hivi wanawake wanapenda sana pesa na ni rahisi kushawishiwa.hata marafiki nao siku hizi tamaa zimewazidi sana,Ila kwa hatua ambayo amefikia mkeo ya kubeba mimba akidhani kwamba atakubambikizia na wewe utakubali bora umuambie Ukweli ajue.
Bora hata angekuwa anafanya kwa kificho tungesema alizidiwa kwavile haukuwa karibu na yeye.
Ninachoweza kukushauri ni angalia moyo wako unasemaje.Kama ingelikuwa mimi ningemwambia aendelee tu na huyo aliyempa ujauzito na mimi ningeendelea na maisha yangu maana wanawake wapo tu wengi.Maana hata ukimsamehe yule mtoto utakapokuwa unaimuona bado utawaza alichokufanyia Mkeo.
 
Tulishi kwa amani upendo furaha baada tu ya kumaliza mktaba wangu na kampuni ya GGM mkoani Geita mke wangu alibadilika sana akawa na mazoea na rafiki yangu sikujali sana maana ilikuwa kawaida sk baada sk mambo ya kifedha kwangu hayakuwa mazuri nikaenda A town kutafuta riziki baada ya miezi 4 naludi nyumbani namkuta mke wangu ni mjamzito nikapeleleza nikagundua ni ya rafiki wangu kipenzi tena kwa macho yangu na masikio yangu nawaona wakiwa wamelala wakifanya mapenzi sebuleni kwa rafiki yangu. Je nifanyeje? Naombeni mnisaidie

Sikulaumu kwa kmuamini rafiki yako, maana ni ngumu sana kwenye maisha ya sasa kuishi bila kuaminiana maana unaweza ukiishi bila kumuamini mke/mume hata kidogo, then unaweza kujikuta unaishi bila amani na kusihia kupata ugonjwa wa moyo.

Ila nilichogundua ni kuwa tatizo lipo kwa rafiki yako na mkeo pia. Kwa upande wa rafiki yako, si rafiki wa kweli na wewe na ndo maana kadiriki kukuzunguka na kugegeda mkeo kupitia vijisenti alivyonavyo mpaka kufikia hatua ya kumjaza mimba. Huyu si rafiki na unapaswa kumpiga chini kuanzia sasa na pia kumchukulia hatua za kisheria ikiwepo kumshtaki na mbele ya wazee na mahakamani ili akulipe fidia.

Kwa mkeo naye anaonekana si mwaminifu na pia ana tamaa za pesa. Ameshindwa kuonyesha uvumilivu wa kuishi maisha ya chini wakati wewe unahangaika mikoani kutafuta pesa. Huyu naye anastahili adhabu kama mwenzake. Si vyema kuendelea kushi naye kama tayari ana mimba ambayo umeithibitisha si yako. Ni vyema kuachana naye kabisa kuliko kurudiana naye na kuendelea kulea mtoto ambaye si wako. Itakuumiza kisaikolojia kila utakapokuwa unamuona mbele yako. Hii inaweza kukusababishia siku moja umjeruhi mtu ...
 
ni wazi kua alikupendea pesa
na hakua na mapenzi ya kweli na wewe
huna jinsi kubali matokeo,mungu ndio kashakuonyesha
ni mke wa aina gani uliekua nae,endelea na maisha yako
na riziki itakuja kama kawaida!!pole sana!!ni mapito ya dunia!!
 
Tulishi kwa amani upendo furaha baada tu ya kumaliza mktaba wangu na kampuni ya GGM mkoani Geita mke wangu alibadilika sana akawa na mazoea na rafiki yangu sikujali sana maana ilikuwa kawaida sk baada sk mambo ya kifedha kwangu hayakuwa mazuri nikaenda A town kutafuta riziki baada ya miezi 4 naludi nyumbani namkuta mke wangu ni mjamzito nikapeleleza nikagundua ni ya rafiki wangu kipenzi tena kwa macho yangu na masikio yangu nawaona wakiwa wamelala wakifanya mapenzi sebuleni kwa rafiki yangu. Je nifanyeje? Naombeni mnisaidie

Yamekukuta eeeehhhh!!! Pole sana. Ndio dunia hiyo. Kwa sababu ameshakudharu, achana naye!!! Mungu atakusadia mbele ya safari utapata mwingine mwenye mapenzi ya dhati.
 
Tulishi kwa amani upendo furaha baada tu ya kumaliza mktaba wangu na kampuni ya GGM mkoani Geita mke wangu alibadilika sana akawa na mazoea na rafiki yangu sikujali sana maana ilikuwa kawaida sk baada sk mambo ya kifedha kwangu hayakuwa mazuri nikaenda A town kutafuta riziki baada ya miezi 4 naludi nyumbani namkuta mke wangu ni mjamzito nikapeleleza nikagundua ni ya rafiki wangu kipenzi tena kwa macho yangu na masikio yangu nawaona wakiwa wamelala wakifanya mapenzi sebuleni kwa rafiki yangu. Je nifanyeje? Naombeni mnisaidie

Yaan umemkuta mkeo anapingwa ----- then unakuja hapa kuuliza ufanye nini, Ina maana hujui cha kufanya au ndo ubwege wenyewe huo, yaan we ni janaume la hovyo si japata ona.
 
Pole,

Wanawake wanaliwa kila siku na marafiki na hata wageni. Tofauti na wa kwako ni hiyo mimba tu. Wengine hupata lakini huflash. Siwatetei bali nasema ndivyo wasivyo waungwana,.Tamaa za pesa, tamaa za mwili, na ushabiki na kukosa uvumilivu ndio vinafanya wengi wawe kama walivyo leo hii. Wanaachia kama karanga. Ndio wamefanya wanaume wasahau kabisa jinsi ya kutongoza maana wanjipeleka wenyewe kama mabata maji.
 
Biblia inasema ndoa iheshimiwe na watu wote, mkeo kashindwa kuiheshimi ndoa yake, rafikiyo kashindwa kuiheshimu ndoa yenu. Biblia inasema mtu mume asimuache mke wake isipokuwa kwa dhambi ya uzinzi. Kazi ni kwako

Tulishi kwa amani upendo furaha baada tu ya kumaliza mktaba wangu na kampuni ya GGM mkoani Geita mke wangu alibadilika sana akawa na mazoea na rafiki yangu sikujali sana maana ilikuwa kawaida sk baada sk mambo ya kifedha kwangu hayakuwa mazuri nikaenda A town kutafuta riziki baada ya miezi 4 naludi nyumbani namkuta mke wangu ni mjamzito nikapeleleza nikagundua ni ya rafiki wangu kipenzi tena kwa macho yangu na masikio yangu nawaona wakiwa wamelala wakifanya mapenzi sebuleni kwa rafiki yangu. Je nifanyeje? Naombeni mnisaidie
 
Lea tu mimba na mtoto...kitanda hakizai haramu! Au sijui sofa ya sebuleni nayo haizai haramu!?
 
duh tunaweza hata andika hata jf yote but the good advice and the realy one comes from your heart, pole sana sana sana fellow unaumia sana
 
Msamehe. Ndo mmefika kwenye kipengele cha shida. Pole mwaya.
 
Pole Sana Ndugu.

Wanawake wa migodini wote wanaakili moja tu. utadhani wamezaliwa na mama mmoja.

Pese mbele. Ukibishana nae sana atakuambia ulinikuta hapa hapa niache hapa hapa. kama ni watoto wako chukua.

Nimeyaona haya KAKOLA, wlipogoma wale jamaa wa Bulyanhulu

Anyway Pole sana
 
Kubaliane na matokeo, kama mkeo ankubali kuishi na wewe pima mwenyewe iukiweza masamehe muendelee kuishi, ni hayo tu.
 
Pole,

Wanawake wanaliwa kila siku na marafiki na hata wageni. Tofauti na wa kwako ni hiyo mimba tu. Wengine hupata lakini huflash. Siwatetei bali nasema ndivyo wasivyo waungwana,.Tamaa za pesa, tamaa za mwili, na ushabiki na kukosa uvumilivu ndio vinafanya wengi wawe kama walivyo leo hii. Wanaachia kama karanga. Ndio wamefanya wanaume wasahau kabisa jinsi ya kutongoza maana wanjipeleka wenyewe kama mabata maji.

Usisahau sex revenge mkuu. mleta uzi hana mtoto wa nje ambaye mkewe analea?
 
Dawa moja nzuri ni kuachana nae na kuangalia maisha yako, wameshatenda. Wewe Muombe Mungu akuongoze na maumivu unayoyasikia omba waje wakukumbuke siku moja.

Kama hamna watoto basi usiwe na wasi, duh mie naona bora mtu usiemjua akakutenda ila besti wako inauma sana.

Ukiwanyamazia bila kugombana nao na kupigisha kelele watakaa milele wajiulize vipi, we waambie unajua na mkeo vimeisha. hapo rafiki yako atakua amemweleza visiri vyako vya pembeni kama unavyo etc.

Panga mambo yako kimya ya kikazi na kuama kama ulienda Arusha basi labda unaweza kuhama, then ondoka mwenyewe usijali kodi atajilipia au ataama ikiisha kama mnapangisha. Kama kwako umejenga kwa pesa yako mtimue.

Pole sana.

halaf atafute mwingine bora zaidi kuliko uyo kiruka njia eti?
 
ataamua mwenyewe, maana mapenzi ayajuaye aliyomo ushauri mara nyingi uingilia huku na kutokea kuleeeeeee. Anaweza pia akakutana na mwingine akawa worse kuliko hata huyo. Ni kuomba Mungu amwelekeze katika maamuzi yake.
 
Back
Top Bottom