John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
Pole Sana Ndugu.
Wanawake wa migodini wote wanaakili moja tu. utadhani wamezaliwa na mama mmoja.
Pese mbele. Ukibishana nae sana atakuambia ulinikuta hapa hapa niache hapa hapa. kama ni watoto wako chukua.
Nimeyaona haya KAKOLA, wlipogoma wale jamaa wa Bulyanhulu
Anyway Pole sana
Arifu ina maana jamaa alioa mwanamke wa mgodini bila kujua tabia zao.