Nundu_Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 811
- 349
Ni familia zipi zina migogoro? Ni Jamii zipi zina migogoro? Ni Mataifa yapi yana migogoro? Kwa nini?
Swali linakiri kwa upande mmoja kuwa kuna migogoro na kwa upende mwingine lina uliza kwa nini kuna migogoro? Hili la mwisho ndilo hasa swala lenyewe.
Migogoro hapa namaanisha mafarakano, umasikini na vita au mapigano. Kwa hiyo hapa nauliza swali lile moja.
Ni familia zipi zinafarakana, masikini au zinapigana? Kwanini?
Ni jamii zipi zinafarakana, masikini au zinapigana? Kwanini?
Ni mataifa yapi yanafarakana, masikini au yanapigana? Kwa nini?
Kwa kuongozwa na akili hatudhani kwamba mafarakano, umasikini, vita ua mapigano ni mambo ya bahati mbaya, yasio na sababu.
Bila shaka kila kulipo na mafarakano kuna sababu kwa nini mafarakano yapo. Hivyo hivyo kwa umasikini, mapigano au vita.
Kimaumbile (nature) binadamu wote tuko sawa. Ubongo wa mwanadamu ni ule ule. Kile kinachoweza kuwa kasoro za kimaumbile za mtu ni zile zile.
Tujadili familia zipi, jamii zipi na mataifa yapi yanafarakana, masikini au yanapigana? Kwanini?