bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Hawa Kibibi Kizee cha Turin wamefanikiwa kutoruhusu nyavu zao kuguswa na nyumbani na Ugenini na Timu za Barcelona hii ni Kusema wanaukuta mgumu usioruhusu Risasi kupenya.
mchezo wa jana pale nyuma ukuta wao uliundwa na mkongwe BUFFON akilinda nyavu zake vizuri kabisa,BONUCCI,CHIELLINI,DANI ALVES,na ALEX SANDRO.
hawa walikua na kazi Moja tu ya kuhakikisha hakuna cha Messi,Neymar wala Suarez Wanagusa nyavu zao au hata kujiangusha na kupata penalti yoyote ile.
Kama ni kazi yao waliifanya kwa kiwango cha juu mnoo kujenga ukuta ulio bora usioruhusu hata makombora ya KIM JONG Kupenya.
Hongereni Juventus Kombe lenu hili.