stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 6,385
- 3,494
Nikiwa nafuatilia mwenendo wa biashara ya ndege toka jana ni wazi kwamba mashirika mengi yanaendeshwa kwa hasara isipokua emirates peke yake mwaka huu.
- Mwenendo wa emirates nkiangalia report yao ya mapato ni in decline graph.
Nikirudi maneno ya CAG kwamba tuanze na ndege moja, nadhan hakuna asiejua ATCL ilishakuaga na ndege moja kabla ya kufilisika kabisa moja kwa moja, lakini nlienda mbali na kuangalia uchapaji kazi wa CAG asaada kabla ya kuteuliwa kushika cheo icho nkagundua kwamba alishawahi kudumbukiza NBC karibia kufilisika kwa benki hio, kwa mafupi hayo CAG asaad alitimuliwa kihalali na hafai kutoa ushauri wowote kwenye ili taifa