alma gemela
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 842
- 280
Habari za usiku wanajamvi
Hua na choshwa na baadhi ya tabia ya ndugu zetu.
Mimi nilialikwa kwenye kikao kimoja cha harusi ya mtoto wa mama mkubwa na niliweza kuhudhuria vyema sasa kikao kilichofata kilipangwa siku ya ijumaa.
Mimi nikajipeleka kikaoni najikuta nipo mwenyewe nampigia muoaji hapokei simu na mpigia mjumbe mmoja ananiambia kikao kimehairishwa mpaka kesho yake nakuambia mbona taarifa ilitolewa kwa kila mjumbe I take easy labda mambo mengi kanisahau.
Jioni yake nikamtumia pesa ya ahadi niliyoihaidi ilikuwa ijumaa majira ya saa mbili usiku hamuwezi kuamini mpaka leo hapokei simu yng wala na wala kusema amepata hiyo pesa. Jaamani naomba ushauri natamani hata niwaombe voda warudishe pesa yangu yaani nimechukia sana kha!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums