Ni dhambi kuwaheshimu wanasiasa hawa ambao wametuletea mateso kutokana na yale waliyotufanyia

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Inaumiza sana kuona kuna watu wanaendelea kuwaheshimu wanasiasa hawa ambao leo hi tunaendelea kupata mateso kutokana na yale waliyotufanyia. haitoshi kuwasamehe ikiwa madhara yao yanaonekana mpaka hii leo.

1. Aliyeharibu mchakato wa katiba. huyu hakupaswa kuishi kwa amani hata kidogo na hata akifariki Mungu akamwangalie mateso aliyosababisha kwa tanzania hii. Pesa za watanzania nyngi zilitumika wakiwa na imani kupata suluhisho la kudumu la kuiongoza nchi hii. shetani mmoja akaja akauharibu mchakato huu mwishoni kwa maslah yake binafs. Yeye na watenda kazi wake wakafaidika na pesa za mchakato ule. Huyu mtu ni ibilisi katika mwili wa binadamu.

2. Aliyesababisha kashfa ya IPTL, ESCROW, EPA, RICHMOND, na ulaji wa Pesa nyingi za walipa kodi maskini hawa wakitanzania. Hawa watu wangechukuliwa wakachunwa ngozi halafu wakaanikwa wakiwa hai juani.Maana hawa ni wachawi. wachawi wakubwa ambao wanasababisha mama zetu wafe kwa kukosa huduma bora wakati wa kujifungua. Wanaosababisha watoto wetu wasipate lishe bora, wasipate elimu bora. Wateseke usiku na mchana. hawa ni wachawi,wajukuu wa shetani.

3. Shetani mwingine ni huyu anayetaka wastaafu hawa baba na mama zetu wasipewe pesa yao yoote. wapewe 25 tu halafu nyingine serikali ijizoe zoe kuilipa. Huyu ni shetani na wanaomuunga mkono watakuwa ni majini /mapepo/wachawi /washirikina. Huyu ni mtetezi wa wanyonge atakuwa mtetezi wa nafsi yake na watu wake. Na ninamwomba mheshimiwa rais amshughulikie huyu jini ambaye anataka wazazi wetu wateseke. Huyu aliyeleta proposal kama hili alipaswa naye achunwe ngozi abanikwe juani.ni mnyama. pesa za wazazi wetu, pesa zetu tumehangaika miaka yote hii tunakuja kupangiwa masharti ya kupewa?

Wapo wengine wengi ambao wanapaswa wachunwe ngozi na kubanikwa juani tena kipindi hiki cha kiangazi. unaweza endelea kuorodhesha matendo yao ya kichawi, ya kifisadi na kinyama kwa taifa hili.
 
Tunaongozwa na nguruwe pori hawa. Ni aibu kuwa Mtanzania leo. Too shameful..... Acha watuibie tu haki ya mungu mwisho wao u karibu......
 
aje shupavu mmoja asiyeingia risasi atufafanulie kuwa watajwa hapo nikinanani

mi nimewaona kina Makonda na Mkapa wakimdhihaki na kumtandika vibao mzee Warioba
 
Inaumiza sana kuona kuna watu wanaendelea kuwaheshimu wanasiasa hawa ambao leo hi tunaendelea kupata mateso kutokana na yale waliyotufanyia. haitoshi kuwasamehe ikiwa madhara yao yanaonekana mpaka hii leo.

1. Aliyeharibu mchakato wa katiba. huyu hakupaswa kuishi kwa amani hata kidogo na hata akifariki Mungu akamwangalie mateso aliyosababisha kwa tanzania hii. Pesa za watanzania nyngi zilitumika wakiwa na imani kupata suluhisho la kudumu la kuiongoza nchi hii. shetani mmoja akaja akauharibu mchakato huu mwishoni kwa maslah yake binafs. Yeye na watenda kazi wake wakafaidika na pesa za mchakato ule. Huyu mtu ni ibilisi katika mwili wa binadamu.

2. Aliyesababisha kashfa ya IPTL, ESCROW, EPA, RICHMOND, na ulaji wa Pesa nyingi za walipa kodi maskini hawa wakitanzania. Hawa watu wangechukuliwa wakachunwa ngozi halafu wakaanikwa wakiwa hai juani.Maana hawa ni wachawi. wachawi wakubwa ambao wanasababisha mama zetu wafe kwa kukosa huduma bora wakati wa kujifungua. Wanaosababisha watoto wetu wasipate lishe bora, wasipate elimu bora. Wateseke usiku na mchana. hawa ni wachawi,wajukuu wa shetani.

3. Shetani mwingine ni huyu anayetaka wastaafu hawa baba na mama zetu wasipewe pesa yao yoote. wapewe 25 tu halafu nyingine serikali ijizoe zoe kuilipa. Huyu ni shetani na wanaomuunga mkono watakuwa ni majini /mapepo/wachawi /washirikina. Huyu ni mtetezi wa wanyonge atakuwa mtetezi wa nafsi yake na watu wake. Na ninamwomba mheshimiwa rais amshughulikie huyu jini ambaye anataka wazazi wetu wateseke. Huyu aliyeleta proposal kama hili alipaswa naye achunwe ngozi abanikwe juani.ni mnyama. pesa za wazazi wetu, pesa zetu tumehangaika miaka yote hii tunakuja kupangiwa masharti ya kupewa?

Wapo wengine wengi ambao wanapaswa wachunwe ngozi na kubanikwa juani tena kipindi hiki cha kiangazi. unaweza endelea kuorodhesha matendo yao ya kichawi, ya kifisadi na kinyama kwa taifa hili.
Usimwamini mwanasiasa yeyote yule,wote ni walewale tu,ni ngumu kuamini kama Mnyika,Lissu,Msigwa na Lema walikuwa wanamnadi Lowassa, tangu hilo litokee hawa wanasiasa wetu wote Ccm, chadema or chama chochote siwezi kuwaamini labda salamu tu
 
Mzee wa Rada; Nyoka mwenye makengeza!! yule hukumu hizi zetu za dunuani ameshindikana; yeye anasubiri hukumu moja tu ya ahera kama kweli ipo!!
 
Kwenye Number 3, huyo unaemuomba msaada ndio alitoa proporsal hio sasa. Hebu tengua kauli yako mkuu.

Halafu umesahau kuweka Number 4, yule anatuma watu watekwe na wapotee, anatakiwa achunwe ngozi ya kwenye kende yote. Aone kama ni raha kuteseka.

Naunga mkono hoja,
 
Back
Top Bottom