Ni dakika 5 za Lowassa

Maskini Ma ccm slaa zote zime fail mwaka huu.

Achilia mbali Lowasa kuumwa au mzima. Sisi wananchi tulishasema mwaka huu hata Ukawa wangesimamisha jiwe tunalipa tu kura.

Hatuchagui tena wezi mwaka huu fungeni vilago.
 
Pamoja na hoja zako nzuri lakini pia Lowasa ni mgonjwa sana najua kiundani kabisa kuhusu ugonjwa wake.

Hongera fistlady, unajua kiundani ugonjwa wa mzee, sasa wewe na huyo mtoa post akili zenu hazina akili, awe anaumwa, haumwi tutampigia kura za kumwaga, piiiiiipoooozzz..!!
 
Chamsingi ni unasema nini katika dakika za kuhutubia, unaweza ukatumia dakika 2 watu wakakuelewa unachomaanisha, lakini vile vile unaweza kutumia saa1 kuhutubia watu wasikuelewe unachomaanisha na wakatoka wamechanganyikiwa kwa hotuba yako. tunataka unachokizungumza kwa muda wowoote kieleweke kwa unaowahutubia sio unaanza kuimbisha nyimbo zisizo na mbele wala nyuma. huu ni wakati wa kazi bwana.
 
Awe mwizi awe fisadi awe anajiharishia ni huyo ndie tutamchagua. Haambiwi kitu mtu hapa kuhusu lowasa. Hata akiwa icu hata amekufa amezikwa kaburin kura tuna mpa maamaee. Lowassa is a major pain in your arssses really. Meekoondoo yenu imefumulliwa vbaya sana
 
Kama tuliweza kuchagua msazi (mwenye kifafa) tutashindwaje kumchagua Lowassa?
 
Wameshasema hata akiwa maiti watamchagua tu. Huko mbele watakuwa wanamshikilia asimame tu kama lisanamu watu wanamuona halafu "Pipozi pawaaaaaaaaaaaaaaa" mkutano kwisha. Haya ni mabadiliko ya aina yake mkuu. Let's wait and see.
Umeambiwa hata maiti atachaguliwa..wewe unawashwa na nini si utulie dawa iingie??
 

Ccm ni kwamba wapo icu
 
Ila suala la kushabikia bila kutafakari,bali kuishia tu ushabiki ni mateso sana,maana kusema ule ukweli moyoni,lowassa hawawezi,uongozi kabisa na angeweza kushinda kama angelikuwa hashindan na mtu makini kama Magufuli
 
Kama si ulofa ni nini? Utasikia hata uweke jiwe nachagua jiwe na wala siyo ccm. Ni ajabu. Changes is about people. Eti hata likiwa jiwe chadema atapigia jiwe. Then huyu mtu ni lofa. Nafasi ya urais siyo sawa na nafasi ya mwenyekiti wa kijiji bana. Angalia traits za kiongozi bora na siyo chama tu. Mabadiliko siyo chama tu. Ni kiongozi mwenye sifa. Hivi chadema walishawahi hata kutoa sifa za mgombea wao wa urais? Hawalioni hilo eti ngoja atuvushe. No. It is wrong. Tuweke ushabiki pembeni na tutangulize maslahi ya wananchi wote.
 
Kwa akili yako we unaona Magufuli anaeleza sera za chama chake au anaropoka tu. Aliaidi kabla ajateuliwa kuwa ilani ya chama ndo mwongozo wake ila nadhani hajapatiwa ilani maana chochote kinachomjia kichwani anaropoka tu. LOWASA ULIPO TUPO
 

 

Ukweli utakuweka HURU, hongera sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…