Ni changamoto gani kunguru alikusababishia?

Suhendra

JF-Expert Member
Nov 25, 2023
1,066
2,455
Na tumaini nyote wazima wa AFYA

Kwasisi tunaoishi uswailini nadhani twamfaham vyema ndege huyu

Kero zake mbalimbali. Kuiba mboga, kuamsha watu asubuhi nk.

Nikero ipi uliwahi kupitia ambayo KUNGURU alikuwa sababu

Binafsi nilishawahi kudonyolewa sito sahaau.

download (1).jpeg
 
Back
Top Bottom