Same me yaani mie na mboga za majani hapana kwa kweli acha tu nikose vitaminSipendi mboga za majaniiii nakula basi tu
Ugali wa muhogo sili hata kwa bunduki khaaa siupendiUgali wa muhogo unakula wewe?
Mmmh kumbe unatokea pande zile?Aika Mae.
Daaah unakosa uhondo mkuu...Pilau aisee! Hasa ile harufu nachefukwa mno
Marage ndo mboga ya serikali we unaipinga kama nani 😂😂😂Sipendiii maharaaageeeee heli nilale njaaa
Hicho ndio kitu ambacho nilikuwa nakula sababu kinapikwa tu ila sikipendi daima milele hata apike mpishi wa Donald Trump au Joe Biden.Wanayaita magimbi sijui majimbi_ siyali hata yakiwa yamebaki yenyewe tu duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Njugumawe ni chakula kama ndizi ila inatakiwa ule na mboga.Me njugumawe jamani. Zimenishinda kabisa.
Vengine vote napeleka kama sina akili vizuri.
Hizo ndizi za kupika nina ugomvi nazo tangu nikiwa tumboni kwa bimkubwa