Ni chakula gani hupendi, mimi sipendi ndizi za kupika

sory mimi natafuta hii
lettuce2.jpg

Ndio hii ehh
 
Sipendi kisamvu jamani japo kimenikuza. Hali duni ya wazazi wangu ilifanya kisamvu kuwa mboga yetu kuu. .as you know kisamvu ni evergreen. .
 
Back
Top Bottom