Ni chakula gani hupendi, mimi sipendi ndizi za kupika

Me njugumawe jamani. Zimenishinda kabisa.
Vengine vote napeleka kama sina akili vizuri.
Njugumawe ni chakula kama ndizi ila inatakiwa ule na mboga.

Yaani njugumawe kama mahindi au mchele upike halafu ndio ule na mboga samaki au nyama kama mboga yake.

Tatizo watu wetu wanatumia kula njugumawe kama mboga.

Njugumawe sio mboga. Ikiifanya mboga itaichukia.
 
Miye sipendi futari ya mihogo kabisa, ndiyo maana sifuturu kwa watu.
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom