Kusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika.
Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine.
Katika chakula nisichokipenda zaidi Duniani ni ndizi za kupika.
Mwanaume wa Dar?
Nikijibu utaleta ninachopenda?Kusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika.
Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine.
Katika chakula nisichokipenda zaidi Duniani ni ndizi za kupika.
Ngoja ganja gal akusikie!.....You will suffer the consequences!!!Sipendi bangi
we kama mimi maboko noKusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika.
Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine.
Katika chakula nisichokipenda zaidi Duniani ni ndizi za kupika.
Umepitwa utam wa dunia weweTupo wte
Sawa mkuu.Ndizi za aina Zote ni tamu Sanaa. ..unakosa kitu kizur sana.
Na ww ni MWANAMME wa Dar?Huyu ni mwanamme anayejitambua.....mwanamme wa ukweli hawezi kula ndizi au mharisho (makande)....ndizi si chakula, ni tunda tu, kuzipika ni kuonyesha kutojuwa mapishi.
Na ww ni MWANAMME wa Dar?
Una matatizo sio burePilau aisee! Hasa ile harufu nachefukwa mno
Mimi mtindi hata waseme ni dawa ya Ukimwi....SINYWIMie huwa najaribu kila chakula hata nilivyokuwa siviwezi sasa nakula,ila vitu vilivyonishinda ni soseji na maziwa ya mtindi.
Ugali wa muhogo unakula wewe?
Aisee hakuna kitu kitamu kama kisamvu cha karanga, tena ule na wali. Halafu kilale ule kiporo kesho yake ni balaa.Sipendi kisamvu jamani japo kimenikuza. Hali duni ya wazazi wangu ilifanya kisamvu kuwa mboga yetu kuu. .as you know kisamvu ni evergreen. .
Ndizi iliyopikwa na nyama au maharage inakuwaje snack? Labda za kukaanga zinaweza zikawa snacksMwanamme mwenye akili timamu hawezi kula ndizi as chakula.....ndizi ni snack ama tunda tu liliwalo baada ya mlo wa maana. Ndiyo maana wanaume wengi wanaokula ndizi wako legelege sana dizaini ya wanaume wa Dar. Nakuunga mkono kwa kutopenda ndizi we are together kwenye hili.
Ndizi iliyopikwa na nyama au maharage inakuwaje snack? Labda za kukaanga zinaweza zikawa snacks