Ni chakula gani hupendi, mimi sipendi ndizi za kupika

Ugali wa sembe

Kitimoto

Kuku wa kisasa na mayai yake

Red Meat....

Hivyo vitu havipo kwenye ratiba zangu za kila siku za kula 24/7 365..
 
Kusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika.

Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine.

Katika chakula nisichokipenda zaidi Duniani ni ndizi za kupika.
Tupo pamoja mkuu ndizi ya kupika siipendi kama nini! Ila mtori na chapati napenda saaaaaaaana!
 
Binafsi siupendi Ugali na haijalishi kuna mboga gani, nakula Ugali tu kama sina jinsi lkn siupendi na hata kama ukipigwa marufuku kwangu poa tu na kamwe siwezi kuumiss!
Daah, mie ugali nakula mwaka hadi mwaka...we nibadilishe mboga tu...
 
Back
Top Bottom