Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,375
- 56,096
[emoji23] [emoji23] ehhh!Munguuu weeeNenda bichi spenkon vingunguti
[emoji23] [emoji23] ehhh!Munguuu weeeNenda bichi spenkon vingunguti
Nenda kafanye booking mapema kwenye viwanja vya Kalimjee tena ni gharama nafuu kabisa na ni City center pia ipo karibu na ikulu hata ukimualika Rais kwenye harusi yako atakuja kwa miguu.Habari za saa hizi humu ndani? Naomba kupatiwa msaada wa mapendekezo ya bustani nzuri inayofaa kwa ajili ya sherehe ya harusi. Ninatarajia kufunga harusi na kuwa na wageni wasiopungua 400. Sihitaji kutumia ukumbi kwa sababu nataka kufanya sherehe ya harusi wakati wa alasiri kuanzia saa 10:30 mpaka 12 jioni watu wawe wanaondoka. Kwenu wadau naomba mawazo.