Ni busara tu ndio itaamua jambo hili

Ni busara tu ndio itaamua jambo hili

Sasa mimi simember wa jf nimeshasoma huu uzi kwahyo ukweli wote nimeshaujua namsaidia kubeba chupi mke wangu tunaenda zetu kwetu.....
Huhuhuhu
Jibu lako limenikosha rafiki
 
Ingekuwa mimi imenitokea, kwanza ningemuuliza:

Kulikoni unatoka humu?
Nasikiliza maelezo yake.

Je kwetu hakuna ndoo ya kuogea? Anatoa maelezo na sababu kama yatanilidhisha basi yupo huru.
Hahahhahaha kumuamini ni ngumu mno
 
Kama ndoo yakuogea ya buku2 anakosa nyumbani, sasa uko kazini anaenda kufanya nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom