Ni bora ukaoa mfanyakazi wa ndani kuliko modern woman kwa sasa

Tatizo wanaume wamebakia kulalama tu no masculinity at all

Wamebakia kuendeshwa na wanawake
Hata uoe housegirl ukiwa weak utakimbizwa mchakamchaka
Hapana....kwa mwanamme kuendeshwa na mwanamke ni kwamba hauna kitu lazima uendeshwe......mimi kama mkongwe kwenye ndoa nawashauri wanaotaka kuoa wasioe corporate ladies , au modern ladies unaweza ukapata kichaa au ukafa kwa presha au ukaua ukapata murder case.....sasa hivi hakuna mwanaume anayejitambua anayeoa hao washenzi ,ukisikia corporate/modern lady kaolewa ujue yeye ndiye ameoa marioo
 
Sawa...lakini hawa wanawake wasomi 95% sio wakuolewa
 
There you are , hiyo ndio rangi halisi ya wanawake wasomi wetu , pesa pesa pesa !!! Bahati mbaya pesa sio kila kitu . Wenye kujua kucheza na nyie wanawazalisha na kuwaacha mnalea by the time upo 40 thamani huna tena
Yaan Dunia hii uache kufanya kile roho na moyo vinapenda eti kisa kuna mda thamani yangu itashuka, hizi futuhi zipo Bongo pekee,
Tunaishi mara 1 tyuuh.
 
Hongera sana mama.
 
wee dea lol,
 
Natamani niwe nafundisha watoto wakike jinsi ya kuwa submissive lakini kuendelea kuilinda heshima yako.Mwanamke tawala nyumba yako kwa usafi,chakula kizuri kwa familia (ikiwezekana pika kwa mikono yako miwili)

Mkuu umeongea kwa busara sana...

Vijana wa kiume hayo ndio wanayotaka na imekuwa ngumu sana kuyapata kwa kizazi cha sasa...

Masela make sure unaoa ili uwe na furaha,, ukiona huna furaha achana na huo mchezo..

Huwezi pata mateso/stress kwa mchezo uliochagua mwenyewe.
 
Umemaliza bro
 
Infact haiwezekani kutengeneza hicho kitu kinaitwa usawa kati ya mwanaume na mwanamke katika ndoa, kampeni zote za kutetea hili hazifanikiwi na hazitafanikiwa zaidi znazidi na zitaendelea kutuongezea talaka na si vinginevyo.
Right from the beginning nakutolea mahari halafu mnazungumza hbr za usawa.
Usawa unaotakiwa kuwepo ni kila mmoja kusimama kwenye nafasi yake, mama kaa kwenye nafasi na utimize majukumu ya umama na baba afanye hivyo kwa upande wake.
Hivyo ndivyo ilivyo
 
Noted sana
 
Ujiandae na kulea wajukuu wako mwenyewe maana akikutana na nunda kama mimi miaka mitatu ya mwanzo tu kipengele kitamshinda.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…