Ni bora ukaoa mfanyakazi wa ndani kuliko modern woman kwa sasa

Tatizo wanaume wamebakia kulalama tu no masculinity at all

Wamebakia kuendeshwa na wanawake
Hata uoe housegirl ukiwa weak utakimbizwa mchakamchaka
Hapana....kwa mwanamme kuendeshwa na mwanamke ni kwamba hauna kitu lazima uendeshwe......mimi kama mkongwe kwenye ndoa nawashauri wanaotaka kuoa wasioe corporate ladies , au modern ladies unaweza ukapata kichaa au ukafa kwa presha au ukaua ukapata murder case.....sasa hivi hakuna mwanaume anayejitambua anayeoa hao washenzi ,ukisikia corporate/modern lady kaolewa ujue yeye ndiye ameoa marioo
 
Umenena dada, tatizo form four leavers na house girls wengi hawajiheshimu linapokuja kwenye mapenzi. Wengi wanaliwa na boda boda na wauza urembo, duka, magenge au wakopesha vyombo. Utashangaa heshima yako inashuka ghafla mtaani kisa? Umeoa mgawaji ukiwa upo kazini.

Cha msingi ni kuomba Mungu linapokuja suala la kumpatia mwanamke sahihi katika ndoa.
Sawa...lakini hawa wanawake wasomi 95% sio wakuolewa
 
There you are , hiyo ndio rangi halisi ya wanawake wasomi wetu , pesa pesa pesa !!! Bahati mbaya pesa sio kila kitu . Wenye kujua kucheza na nyie wanawazalisha na kuwaacha mnalea by the time upo 40 thamani huna tena
Yaan Dunia hii uache kufanya kile roho na moyo vinapenda eti kisa kuna mda thamani yangu itashuka, hizi futuhi zipo Bongo pekee,
Tunaishi mara 1 tyuuh.
 
Ukiona wanaume wanalalamika sana kuhusu wanawake ujue wewe bado mvulana ujawa mwanaume.Wanaume wanajua kukaa na aina zote za wanawake na sio wasichana.Kwa hiyo jamani wanaume makae na wanawake kwa akili na sio kwa kumchanbua sijui hafui nk.Fyndisheni watoto wenu wa kike na wakiume kuwa wanaume na wamama ili kila mtu asimamie majukumu yake.Mimi nimesoma nina PHD mume hana na sina house girl napika,nafua,napasi nk huu mwaka wa 20 sasa nina watoto mpaka wamefika chuo nao kila mmoja anamajukumu yake nyumbani na sina dada wa kazi wala kijana wa kazi sijui na nyumba inabustani,ina wanyama ,ina kila kitu.Nikujipanga tu na familia.Natamani niwe nafundisha watoto wakike jinsi ya kuwa submissive lakini kuendelea kuilinda heshima yako.Mwanamke tawala nyumba yako kwa usafi,chakula kizuri kwa familia (ikiwezekana pika kwa mikono yako miwili) nk.Huwa nikifika getini u bosi wangu unaishia nje na hakuna ndani mtu anajua mimi ni bosi sijui nini wanaona kwenye makaratasi tu na labda treatment ninazopata za ofisi ambazo wote tuna enjoy.Naishia hapo.
Hongera sana mama.
 
Mada za wavulana kulia lia humu zimezidi kwanini wanaume wasikuhizi mna inferiority complex, huko tuendako na dunia kubadilika kila mtu atachakarika na sikuhizi shule ni lazima kwa watoto wote hadi form four, sasa mnaotaka kuoa wasio na shule mtafanyaje. Narudia kusema wavulana wa humu jirekebishe maisha yamebadilika acheni kulia lia na ujinga mbona wanawake hatulalamiki, naomba serikali ianzishe dawati la jinsia la wanaume na muanzishwe men empowerment this is too much
wee dea lol,
 
Natamani niwe nafundisha watoto wakike jinsi ya kuwa submissive lakini kuendelea kuilinda heshima yako.Mwanamke tawala nyumba yako kwa usafi,chakula kizuri kwa familia (ikiwezekana pika kwa mikono yako miwili)

Mkuu umeongea kwa busara sana...

Vijana wa kiume hayo ndio wanayotaka na imekuwa ngumu sana kuyapata kwa kizazi cha sasa...

Masela make sure unaoa ili uwe na furaha,, ukiona huna furaha achana na huo mchezo..

Huwezi pata mateso/stress kwa mchezo uliochagua mwenyewe.
 
Umenena dada, tatizo form four leavers na house girls wengi hawajiheshimu linapokuja kwenye mapenzi. Wengi wanaliwa na boda boda na wauza urembo, duka, magenge au wakopesha vyombo. Utashangaa heshima yako inashuka ghafla mtaani kisa? Umeoa mgawaji ukiwa upo kazini.

Cha msingi ni kuomba Mungu linapokuja suala la kumpatia mwanamke sahihi katika ndoa.
Umemaliza bro
 
Wakuu
Kwa sasa kama unataka ndoa yako iishi achana na hawa modern women.
Wanaotaka haki sawa na wanaume, wabishi kwa waume zao kisa tu ana ka diploma ka business administration basi anataka kujiona sawa na mumewe .

Nawashauri basi ni bora utafute mwanamke ambae sio modern woman/feminist wanaotaka kukojoa huku wamesimama kwani itakucost sanaa.
Hata wafanyakazi wa ndani wanafaa sana kuolewa kwani wanatimiza majukumu yao ya ndoa kwa ufasaha
Hii inafanya hata waliowaoa wazidi kuwapenda na kuwatunza

Achana na hawa wa "siku hizi ni haki sawa"

Msiseme sikuwaambia
Infact haiwezekani kutengeneza hicho kitu kinaitwa usawa kati ya mwanaume na mwanamke katika ndoa, kampeni zote za kutetea hili hazifanikiwi na hazitafanikiwa zaidi znazidi na zitaendelea kutuongezea talaka na si vinginevyo.
Right from the beginning nakutolea mahari halafu mnazungumza hbr za usawa.
Usawa unaotakiwa kuwepo ni kila mmoja kusimama kwenye nafasi yake, mama kaa kwenye nafasi na utimize majukumu ya umama na baba afanye hivyo kwa upande wake.
Hivyo ndivyo ilivyo
 
Wakuu
Kwa sasa kama unataka ndoa yako iishi achana na hawa modern women.
Wanaotaka haki sawa na wanaume, wabishi kwa waume zao kisa tu ana ka diploma ka business administration basi anataka kujiona sawa na mumewe .

Nawashauri basi ni bora utafute mwanamke ambae sio modern woman/feminist wanaotaka kukojoa huku wamesimama kwani itakucost sanaa.
Hata wafanyakazi wa ndani wanafaa sana kuolewa kwani wanatimiza majukumu yao ya ndoa kwa ufasaha
Hii inafanya hata waliowaoa wazidi kuwapenda na kuwatunza

Achana na hawa wa "siku hizi ni haki sawa"

Msiseme sikuwaambia
Noted sana
 
Hata mimi before nilikuwa na mtizamo kama wenu wa kuwa mwanamke hawezi kuwa haki Sawa na mwanaume Bali atabaki kuwa kama mama wa nyumbani but now baada ya kupata mtoto wa kike nimeona sio fair kabisa sababu sitaki mtoto wangu aje kua Dada au mmama wa nyumbani na kwa sababu yake nimeamua kuwa 50. 50 mimi na mke wangu ili hata baadae mwanangu na yeye awe amsin kwa amsin mkwe unakuja unapewa masharti kama hutaki amsha
Ujiandae na kulea wajukuu wako mwenyewe maana akikutana na nunda kama mimi miaka mitatu ya mwanzo tu kipengele kitamshinda.
 

Similar Discussions

51 Reactions
Reply
Back
Top Bottom