Ni bora ukaoa mfanyakazi wa ndani kuliko modern woman kwa sasa

Mbona unanihukumu ?? Mie nililijua hilo ndio sababu nikaamua kuchukua wa darasa la nne B, maisha yanaendelea ,
Hao ma degree holders ikitokea sanaa atapata hadhi ya mchepuko with no strings attached ,
Kikubwa anapata anachotaka kwako huyo mchepuko (pesa na vitu vingine) haina tatizo mbona lol,
 
Kabisa yaani
 
Sasa kama haya yote mnayajua na mnayafanya kelele hizi za nini? Kaeni kwa kutulia basi khaaaah.
 
Kikubwa anapata anachotaka kwako huyo mchepuko (pesa na vitu vingine) haina tatizo mbona lol,
There you are, hiyo ndio rangi halisi ya wanawake wasomi wetu, pesa pesa pesa !!! Bahati mbaya pesa sio kila kitu. Wenye kujua kucheza na nyie wanawazalisha na kuwaacha mnalea by the time upo 40 thamani huna tena
 
Ukiona wanaume wanalalamika sana kuhusu wanawake ujue wewe bado mvulana hujawa mwanaume. Wanaume wanajua kukaa na aina zote za wanawake na sio wasichana. Kwa hiyo jamani wanaume mkae na wanawake kwa akili na sio kwa kumchambua sijui hafui nk. Fundisheni watoto wenu wa kike na wakiume kuwa wanaume na wamama ili kila mtu asimamie majukumu yake.

Mimi nimesoma nina PHD, mume hana na sina house girl napika,nafua, napasi nk huu mwaka wa 20 sasa nina watoto mpaka wamefika chuo nao kila mmoja ana majukumu yake nyumbani na sina dada wa kazi wala kijana wa kazi sijui na nyumba ina bustani, ina wanyama, ina kila kitu. Ni kujipanga tu na familia. Natamani niwe nafundisha watoto wa kike jinsi ya kuwa submissive lakini kuendelea kuilinda heshima yako.

Mwanamke tawala nyumba yako kwa usafi, chakula kizuri kwa familia (ikiwezekana pika kwa mikono yako miwili) nk. Huwa nikifika getini u bosi wangu unaishia nje na hakuna ndani mtu anajua mimi ni bosi sijui nini wanaona kwenye makaratasi tu na labda treatment ninazopata za ofisi ambazo wote tuna enjoy. Naishia hapo.
 
Hongera Sana Mama
 
Mada za wavulana kulia lia humu zimezidi kwanini wanaume wasikuhizi mna inferiority complex, huko tuendako na dunia kubadilika kila mtu atachakarika na sikuhizi shule ni lazima kwa watoto wote hadi form four, sasa mnaotaka kuoa wasio na shule mtafanyaje. Narudia kusema wavulana wa humu jirekebishe maisha yamebadilika acheni kulia lia na ujinga mbona wanawake hatulalamiki, naomba serikali ianzishe dawati la jinsia la wanaume na muanzishwe men empowerment this is too much
 
Dah, umeuwa!!!!!!
 
Hongera Sana Mama
Asante, wanawake tuache viburi vizivyo na msingi. Kwenye masuluhisho mengi ya ndoa unakuta watu wengi hawajui kutumia muda wao vizuri. Ukigawanya 24 hrs toa 8hrs za kulala. Jamani unafanya mambo mengi sana ukiwemo kujiingizia kipato. Natamani nifundishe sana lakini muda pia wa ziada sina sana.

Ila kuna siku nitafungua uzi wa kuelimishana. Mungu pia lazima awe kipaumbele chetu ili haya yote tuyashinde(Sio lazima ukashinde kanisani au msikitini) la hasha ni kuhakikisha asubuhi mkiamka saa 11 familia mnasali kama ni Wakristo na waislam pia. Mnaambiana changamoto au malengo ya siku kwa dakika mbili mnaanza kazi au mnaendelea na mlichokubaliana. Familia nyingi hazina utaratibu kitu kinachopelekea watoto wengi wavulana na wasichana kuona majukimu fulani fulani ni ya wadada wa kazi na haya mengine ni ya watoto nk. Msiwazoeshe watoto kuona kazi za nyumbani kuna mtu anaajiriwa kuwafanyia mnajenga kizazi cha wamama watakao wategemea wadada wa kazi kwa kila kitu.
 
Dawa ya mwanamke na mwanamke mwenzie.. K zimeisha nje huko hata ut.ombe gogo?🙄
 
Mwanao wa kike usimpeleke shule, aje house girl/ mfanyakazi wa ndani ili apate Mume wa Kumuoa. Usikubali kabisa mwanao wa kike kuwa one of the Modern Women unaowaelezea hapo juu.
 
Kuishi na mwanamke ni kazi kubwa sana kuliko kutafuta pesa!! Hata ukioa house girl ambae hajui kusoma wala kuandika baadae ataota mapembe tu!! Dawa moja tu zalisha kusanya watoto.. Ishi nao ukifikisha miaka 40+ huna haja ya kuishi na mwanamke mtafute single mama anakaa kwake na wewe kwako mnatembeleana tu kusogeza siku!
 
Ndio unajua leo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefunga uzi bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…