BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,623
- 3,011
Huo ni utoto tu na ujana wakikuwa wataacha.Vina maana mno. Wewe usiyeona vina maana ndiye una kasoro. Tusingekuwa tuna kanuni za kuandika maneno ungekuweza kuwasiliana na wengine? Sijui ni kwa nini watu wa shule za kata hamuoni umuhimu wa mtu kujua kusoma na kuandika kwa ufasaha.
Hao ndiyo wale wazazi wanao shangilia kujengewa nyumba na watoto ila wao wanawaambia watoto wao ....hivi vitu tumechuma mimi na mume wangu au mimi na mke wangu na nyinyi katafuteni vyenu ...chakushangaza ukiwajengea wao nyumba au kuwanunulia gari wanakimbiza vijambio vyao kupokea ....utawasikuia wanasema ...kuna kunya na kuzaa huku ndiyo kuzaa.Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.
Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.
Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".
Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.
Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.
Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.
BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!
BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
Tatizo kubwa hapa ni kumpa thamani kubwa sana mamako kwa mujibu wa imani yako ya dini.Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.
Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.
Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".
Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.
Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.
Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.
BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!
BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
Inafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.
Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.
Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".
Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.
Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.
Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.
BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!
BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
Duuuuu umeongea lugha ngumu sn ndugu. Tuwaheshimu wazazi mapungufu yao tumuachie MunguHao ndiyo wale wazazi wanao shangilia kujengewa nyumba na watoto ila wao wanawaambia watoto wao ....hivi vitu tumechuma mimi na mume wangu au mimi na mke wangu na nyinyi katafuteni vyenu ...chakushangaza ukiwajengea wao nyumba au kuwanunulia gari awakimbiza vijambio vyao kupokea ....utawasikia wanasema ...kuna kunya na kuzaa huku ndiyo kuzaa.
heshima bana na mama yako upate maisha marefu dunianiInafkrisha sana mama kakimbia ukiwa na miaka 4 baada ya miaka 12 ndio unakuja kumjua lkn anakupa sababu ambazo hazina mashiko unaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.
Miaka inaenda unamaliza elimu yako unapata kaz mnakuwa karibu sana baada ya muda matatizo yanatokea anajikausha km hajui chochote kuhusu wewe yan anaeza kukaa hata miezi miwil hakuna sms wala simu ila b4 uko vizur kiuchumi unakazi simu muda wote hazikauk.
Kila nikijaribu kumueka karibu kumuuliza kwann anakuwa hv yeye ni mtu wa kulalamika tu km namuonea na kusema nampa lawama tu mara sijui simpend yeye ila hapo yeye hajawah kukuonyeshea upendo km wamama kutokumuona mwanae toka akiwa na miaka 4 yan yuko normal mpk muda mwingine unajiuliza hv "huyu ni mama angu mazazi".
Napitia msoto mkali sana lkn sijawah pata sapoti kutoka kwake hata kimawazo ukuaji wangu mpk elimu yangu hajui chochote.
Nikijaribu kumuelewesha inakuwa km ugomv anapanik haraka na kuona km mm namfundisha, muda mwingine nashikwa na hasira nataman hata nifute numb yake yan km mtu anakuombea mabaya.
Kipind cha nyuma alikuwa ananishaur niache kuwasiliana na mama alienilea kuwa sio mzur kwangu lkn anajisahaulisha huyo mama wa kambo mm ndio alienilea iwe kwa ubaya au uzur.
BINAFS NAONA NIISHI MAISHA YANGU NIACHANE NAE AU NIFUTE NUMB YAKE KABISA AU NI ASSUME KM SINA MAMA TU KM HAPO MWANZO NIKAE NAE MBALI NAJARIBU KUMVUTA LKN NAONA KM THAMAN INAONEKANA PALE NIKIWA NA KAZI/PESA ....!!!
BINAFS NAJIKUTA SAS SINA MAPENZ NAE KABISAAA TOKA TUMEJUANA 2012 SIJAONA TOFAUT NA KUTOKUMJUA, HT RAHA YA KWENDA KWAKE KUMSALIMIA SION TENA
nimekupata vyema sanUkiona mtu/watu hawakupi amani kaa nao mbali iwe mzazi,mpenzi,marafiki
Nimepitia hali kama yako kunyanyapaliwa na mama mzazi...siwezi eleza kwa kirefu ila nilichokifanya nilimuaga narudi nilikokuwa nimetoka baada ya kwenda kumlilia shida, huu nadhani ni mwaka wa 5 sijawahi kumpigia na namba yake nilifuta.ndugu yang nmekaa nalo rohon takriban miaka mingi sana linaniumiza mno kila nikitaka kuandika hapa huwa nafuta ila jana mambo yamenilemea moyon mwangu
Akishindwa kuelewa hata hii basi akakanyage mafutaNimepitia hali kama yako kunyanyapaliwa na mama mzazi...siwezi eleza kwa kirefu ila nilichokifanya nilimuaga narudi nilikokuwa nimetoka baada ya kwenda kumlilia shida, huu nadhani ni mwaka wa 5 sijawahi kumpigia na namba yake nilifuta.
Duh.jifunze kupambana peke yako.
la sivyo tutawaona wote wawili mna Magonjwa Mtambuka
Aisee!...Pole ndugu.ndio ameolewa na anamtoto mmoja kwa huyo mume wake
Umeongea kitu kikubwa sana sana na kimenigusa mno naamini una experience katika hili.....Most likely kuna kitu kibaya sana walifanyiana na baba au ndugu wa upande wa baba yako na viapo vya kutosha! Seems hataki kuvunja viapo walivyoapizana ndio maana ana-behave hivyo. Sio utashi wake ni viapo vibaya walivyoapizana.
Ashakua akomae pekeyake tujifunze kupambana peke yako.