Binafsi sijakwazikaPole kama nimekukwaza ila tambua wapo wanaonufaika kupitia michano mbele ya hadhara.
Nawahi sana ikifika saa nne tuu nakuwa kama mjinga yaan sijiwezi sijui hata ni nini kimenikumbaAhahhahah kwahiyo sasa hivi unawahi sana kulala jaman
Pole yako ww pamoja utuuzima wote,unasubiri uambiwe na mwanaume kuhusu jinsi ya kutunza sehemu zako nyeti!!!1.mwanaume wa kweli,ni mjasiri,angemwambia mwanawake hapo hapo.
2.Mwanamme wa kweli,asingeleta mada hii hapa,kuna vitu ukishakua,huwezi ukaviongea hadharani.
utoto unakusumbua,ndio umeanza kufanya ngono,pole weeeeeeeeeeeeeeeee
Wakati mwengine hivyo vitu mnavyoweka ndio vinawaponza .Yah ni kweli nako kutojisafisha inaweza ikawa inasababisha but mimi siamini sana........sasa hivi kuna vitu tunaweka huku chini uchafu wote unatoka na unakuwa safi kabisa......
Pole yako ww pamoja utuuzima wote,unasubiri uambiwe na mwanaume kuhusu jinsi ya kutunza sehemu zako nyeti!!!
Mbona kujipodoa usoni hamuambiwi?Iweje kusafisha kiungo chako mwenywe usubiri mpaka uambiwe?
Ahahhh hongera sanaNawahi sana ikifika saa nne tuu nakuwa kama mjinga yaan sijiwezi sijui hata ni nini kimenikumba
Mkuu umeongea vzr sana,tatizo lao wabishi kuelewa.Hawajiulizi nikwann wapinapigwa chini bila sababu!!!Mkuu hili ni tatizo baya sana katika mapenzi. Kuna baadhi ya mademu wanaachika sana kwa ajili ya hili tatizo. Mbaya zaidi kumwambia ukweli ni kazi. Kingine ni ukute demu ananuka mdomo ni hatari sana dushe lote lazima lilale hata kama ulikua na mzuka kiasi gani. Lipo swali huwa ninajiuliza ina maana hawa mademu wanakua hawajui kama wana hayo matatizo? Nafikiri wanawake wanaweza kutusaidia kwa hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio vinawekwa kila siku ni mara chache......that's why mi naweza kusema kunuka huko kunatokana na mtu na mtu.........unaweza ukakesha unajisafisha na bado ukanuka na unaweza ukaweka hicho na vile vile ukaendelea kutoa harufu......so sijui zaidi ya hapoWakati mwengine hivyo vitu mnavyoweka ndio vinawaponza .
Mkuu hongera kwakutuelewesha japo umenifanya nicheke kwa sauti hapa Mara baadae yakusoma hup mstari wa kunuka kupindukiaKunuka kwa asilimia kubwa ni magonjwa ya zinaa , uka kuna kunuka kwengine kuna sababishwa
Na imbalance of the bacteria that are normally present in the vagina
Au wanaita vaginosis kuna bacteria wazuri na wabaya kwenye vigina wale wazuri huwa wana control wale wabaya sasa ikiwa wabaya ndio wanazidi na Ku control wazuri kuna harufu ambayo ata kuielezea hakuna kugha ya kutumia
Maana ni panya kaoza + shombo samaki + kingine chohote kinacho nuka kupindukia
spensa_e
Hii mada inakuhusu sana inaonekana ww ndio muhusika mkuu.Pole kwakupigwa chini na wale Jamaa kisa mnuko.
Jiongeze muda unaruhusu.