Ni bora msioge kabisa ili tujue moja,kaaah!!!

Ni bora msioge kabisa ili tujue moja,kaaah!!!

Kwa naye chini mzungumze mkuu, kuwa tuu makini na tafuta namna nzuri ya kumuelezea, atakuelewa na mtaenda kumcheki Dr mtapata tiba nzuri maisha yatasonga mbele.

Umekosea sana kumuanika hapa kabla hujazungumza naye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa huyu wala hata cjisumbui Mimi,namwacha coz hajielewi,we unameet na mtu wako kwa Mara yakwanza hufichi hata makucha!!!Aende
 
Sio wadada tubadilike......huyo girlfriend wako kama ananuka sio wote tunanuka......kwani umeshindwa nini kumwambia ukweli kama ananuka au unamuogopa

Kama girlfriend wako ananuka na hauwezi kumwambia abadilike basi pambaneni na hali zenu

Duuuuh nimetokwa na povu aiseee
Anaogopa kua ataachwa akimchana live
 
Back
Top Bottom