Habari wanabodi,
Naandika Uzi huru nikiwa na gadhabu kweli.
Unakuta mtu unaomba meeting ww na mpnz wako,mnakubaliana mkutane saa flani.
Muda ukifika dem anakuwa bado hajafika eneo la tikio,unaamua kumcall,honey mbona hujatokea?
Anakukibu sorry nilikuwa naoga.
Akifika eneo la tukio mnaanza majamboz,mara ukipeleka mkono sehem nyeti na kuunusa unakumbana na harufu Kali!!!!
Sasa me huwa najiuliza hivi huyu dem si kachelewa kufika kwasababu anadai alikuwa anaoga?sasa inakuaje mtu alieoga anuke kiasi hiki?au alioga maeneo mengine huku hapahusiki??
Wadada hebu badilikeni,haiwezekani kila kukicha tunawaambia kuhusu usafi sehemu zenu lakini hamuelewi.
Kama vip acheni kuoga kabisa ili tujue kuwa hamuogi,kuliko kujinasibu mnaoga kutwa mara tatu,haliyakuwa bado mnatoa harufu kali!