Ni bora msioge kabisa ili tujue moja,kaaah!!!

Yaani suala la baadhi ya akina dada kutoa harufu sehemu zao za siri huwa linanipatia wakati mgumu sana,SIPENDI kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawezaje kuingiza mkono kwenye kitumbua Afu ukanusa

Sent From Mhenga Aliyesema Hasomeshi Wazazi
Ktk maandalizi wengine nilazima tupitishe mkono kule kunako ili kuongeza hamasa.

Baada yakumaliza mkonp hurudi kushika maeneo mengine,hapo sasa ndo harufu inatokea na kupelekea kutaka kujua chanzp ninini.Hatimae naunusa lol!!
 
Pole mkuu.
Umepata wa hadhi yako ndiyo maana
 
Kuna siku nilipigwa denda na dem fulani asubuhii tumeamka walahi kama sikuzimia siku hiyo baasi, kwanza nilisikia uchunguu, nikasikia kama vile nimedendwa na Tigo badala ya takoo, sitasahauu
 
Mbaya zaidi unakuta dada mwenye MANUKO ya aina hiyo ni MALAYA kweli,mi akina dada wa hivyo nilikua naona watulie na mwanaume mmoja mvumilivu nasio kulala na kila mwanaume kwani hushusha heshima kwao.Wafanye hivyo kama wanaume ambao huwa wanakua hawajatahiriwa,mara nyingi huwa hawalali hovyo na wanawake kwa hofu yakuaibika,vivyo hivyo na wanawake wenye MANUKO waige hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupeleka lodge za mia mbili, na ww demu katoka boko basiaya kakufuata kibada ulizani ataacha nukia cabbage

driller⛏⚒
 
Sio wadada tubadilike......huyo girlfriend wako kama ananuka sio wote tunanuka......kwani umeshindwa nini kumwambia ukweli kama ananuka au unamuogopa

Kama girlfriend wako ananuka na hauwezi kumwambia abadilike basi pambaneni na hali zenu

Duuuuh nimetokwa na povu aiseee
Huoni kama atamfedhehesha dada husika,labda amtumie mdada mwingine amwambie kivingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanabodi,

Naandika Uzi huru nikiwa na gadhabu kweli.

Unakuta mtu unaomba meeting ww na mpnz wako,mnakubaliana mkutane saa flani.

Muda ukifika dem anakuwa bado hajafika eneo la tikio,unaamua kumcall,honey mbona hujatokea?
Anakukibu sorry nilikuwa naoga.

Akifika eneo la tukio mnaanza majamboz,mara ukipeleka mkono sehem nyeti na kuunusa unakumbana na harufu Kali!!!!

Sasa me huwa najiuliza hivi huyu dem si kachelewa kufika kwasababu anadai alikuwa anaoga?sasa inakuaje mtu alieoga anuke kiasi hiki?au alioga maeneo mengine huku hapahusiki??

Wadada hebu badilikeni,haiwezekani kila kukicha tunawaambia kuhusu usafi sehemu zenu lakini hamuelewi.

Kama vip acheni kuoga kabisa ili tujue kuwa hamuogi,kuliko kujinasibu mnaoga kutwa mara tatu,haliyakuwa bado mnatoa harufu kali!
Mimi huwa sidate mwanamke mwenye kucha ndefu mikono yote,najiuliza anaoshaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilipigwa denda na dem fulani asubuhii tumeamka walahi kama sikuzimia siku hiyo baasi, kwanza nilisikia uchunguu, nikasikia kama vile nimedendwa na Tigo badala ya takoo, sitasahauu

Haki wanaume mnavisa jamani duuh
 
Mbaya zaidi unakuta dada mwenye MANUKO ya aina hiyo ni MALAYA kweli,mi akina dada wa hivyo nilikua naona watulie na mwanaume mmoja mvumilivu nasio kulala na kila mwanaume kwani hushusha heshima kwao.Wafanye hivyo kama wanaume ambao huwa wanakua hawajatahiriwa,mara nyingi huwa hawalali hovyo na wanawake kwa hofu yakuaibika,vivyo hivyo na wanawake wenye MANUKO waige hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa
 
Sasa sie humu tukusaidiaje? Badala ya kulalama K inanuka nenda kaioshe kisha unagegeda kwa raha zenu.

Back
Top Bottom