Ni bora msioge kabisa ili tujue moja,kaaah!!!

Ni bora msioge kabisa ili tujue moja,kaaah!!!

Curious hunuki dadaangu, natania tu .Ila kama upo vzr ktk suala usafi hebu karibu kushare na wenzako maujuzi ya jinsi yakujitambua ktk suala la usafi.
Kiukweli hayo mambo ya kunuka naona yanatokana na maumbile ya mtu haijalishi unaoga sijui masaa 7 or only 15 minutes......

Nachojua msichana akiwa ananuka huko chini basi atakuwa na magonjwa ambayo yanapelekea kutoka kwa harufu na uchafu

So kama kuna msichana ananuka huko chini the best solution ni kwenda kuonana na gynocologist.....so nakushauri umwambie girlfriend wako afanye hivo kama kweli unampenda
 
mmmmmmmh mkuu unanikumbusha ile shombo ya mwaka juzi sasa, mm nilikua nishasahau wewe unatonesha kidonda hadi leo nipo mapumzikoni, mdada mzuriiiii lakini kachina aaghhhhhrrrr
Pole mkuu ndo ukubwa huo
 
Kama kwel vle

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Kiukweli hayo mambo ya kunuka naona yanatokana na maumbile ya mtu haijalishi unaoga sijui masaa 7 or only 15 minutes......

Nachojua msichana akiwa ananuka huko chini basi atakuwa na magonjwa ambayo yanapelekea kutoka kwa harufu na uchafu

So kama kuna msichana ananuka huko chini the best solution ni kwenda kuonana na gynocologist.....so nakushauri umwambie girlfriend wako afanye hivo kama kweli unampenda
Sio kweli mkuu,wapo wanaosababishwa na magonjwa lakini wengi hawajui kujisfisha,

Kuna mmoja niliwahi kumchana kistaarabua na akanielewa akawa anajisafisha na ile harufu ikawa kwishnei.
 
mwanamke hata ajisafishe vp kama ana maambukiz ya bacteria/fungus huko chini hata akijisafisha vp hali ya kunuka itajirudia tuu baada ya mda mfupi kaa naye chini muongee kiutuuzima kusolve hilo tatizo kama alikuwa wa kupiga na kusepa sidhan kama utafanya hivyo ila kama n wako I mean una malengo naye ninaimani utakaa naye kuzungumza hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ushamba uko sio kunuka ni kunukia....hakuna vagina isiyo nukia....hata hivyo ulivyo nusa ulitaka kusikia nini kama si harufu?
Vagina ordo..
 
Back
Top Bottom